Search results

  1. olele

    Ndoa na Msiba ni jukumu la muhusika, tusiwasumbue wasiohusika. Tuwaige waserbia ktk hili

    umewasoma maisha ya waserbia unataka tz nzima tuige.. wiki ijayo ukiwasoma wa australia utakuja kutuambia tena tuachane na waserbia tuwafuate hao wengine sisi kazi yetu iwe ni kuigilizia tamaduni za wengine, leo huku kesho kule. Alafu lazima mjue kuna maisha/tamadumi nyingine za wazungu wao...
  2. olele

    Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

    sasa hivi watu hawasemi tena kuhusu kombe la dunia
  3. olele

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Paula Paul nilisoma kitabu cha eastern of eden (kutokana na ushawishi wako) aisee sijawahi kusoma kitabu kikanishusha moyo kama hicho, baada ya kusoma nikapoteza hamu kabisa ya kusoma vitabu, imenichukua zaidi ya miezi mitatu au minne kuwa sawa.
  4. olele

    Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

    unavyoongea as if chuo kizima wanafundisha panya.. kumbe ni mradi mdogo tu ndani ya idara mojawapo.
  5. olele

    Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

    mnaanzaga hivi hivi kama utani unashangaa mtu anachukua form mahali, au nafasi inaandaliwa mahali.
  6. olele

    Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Mkuu mbona haujasema pia kasi ya kuachana/kutalikiana ndugu zetu nyie nayo si kidogo. dada fulani aliwahi kuniambia "yaani jinsi ilivyo rahisi kuingia kwenye ndoa,.na kutoka ni hivyo hivyo" aliniambia hvyo baada ya kushangaa (niliona karatasi yake aliyoandikiwa talaka)mume wake aliokota...
  7. olele

    Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

    we ndio umemuharibia mwenzako maisha, unadate na mtu miaka 10 ulitegemea nini
  8. olele

    Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Sayansi inaamini ni umeme wa asili,. na wewe unaamimi ni kuku mwekundu tena jogoo anayevutia.??
  9. olele

    Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

    😄😄😄 yaani mchina a-organize safari ya spika wa marekani kwenda taiwan?? ... na CIA wasijue kitu?? you ar not serious mkuu
  10. olele

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Paula Paul wewe hausomi au haujawahi kusoma vitabu vya kiswali?? hasa vya hadithi, ningependa kujua ni vitabu gani vya hadithi vya kiswahili unapenda au umesoma
  11. olele

    Anayemiliki mabasi ya Kilimanjaro ni Tajiri wa ajabu kweli kweli

    hivi ndio huyo aliingia front kwenye yard ya bwana Nchambis.. nakumbuka kesi kama hiyo miaka ya 2000s
  12. olele

    Kama unamjua huyu mwamba huendi mbinguni

    shukuru haulewi mkuu, 😄😄
  13. olele

    Mgonjwa kulipia 'Kumuona Daktari' Hospitali si sahihi

    nani sasa wa kuachana na mwenzake, ww ndio uachane na kwenda kumuona kama hautaki kulipa.. uumwe hadi ufe
  14. olele

    Mgonjwa kulipia 'Kumuona Daktari' Hospitali si sahihi

    Daktari Bingwa anasoma miaka zaidi ya kumi tena ukute amesomea hata nje ya nchi alafu wewe uje kumuona bure.... hivi wewe una akili kweli. hata clinical officer aliyesomea miaka 3 haupaswi kumuona bure. hebu heshimuni kazi za watu nyie
  15. olele

    Yuko wapi Hussein Tuwa?

    yupo wana project inaitwa mjue mtunzi.. ingia instagram na facebook yupo
  16. olele

    Broken english "THREAD"

    if you can, you cant uncan bad is bad, there is no good bad
  17. olele

    Kuibuka na kufa kwa Merilyn Monroe

    si kwamba simjui, namjua vizuri tu mkuu ila nachosema "amekuzwa sana" kwa lengo la kutengeneza fedha. mfano ni hivyo tu tayari unazo novel zake mbili.. someone has make money out of her.. ndio wazungu walivyo sasa. Ni kama ile picha ya monalisa pale ufaransa.
Back
Top Bottom