Search results

  1. D

    Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Sio kila position unayolala mwili unakuwa comfotable nina maana kuwa kila mtu kuna style akilala mwili hukubali na haoti njozi mbaya. Ni brain yako hutengeneza scenario ili uondokane na hiyo position uliyolala ili uwe comfotable. Ni sawasawa na mkojo ukiubana sana lazima brain itengeneze...
  2. D

    Kanisa Katoliki latoa waraka mpya unaiotwa 'Dignitas Infinita' likipinga Utoaji Mimba, Kubadilisha Jinsia na Upandikizaji wa Mimba

    Hivi ni kwa nini wahamiaji haramu Mfano hawa wanaokamatwa wakiwa wanakwenda au wanapita tuu nchini kwetu kwenda kujitafutia maisha mahali pengine na wala sio nchini mwetu kwa nini tusiwaache kwa sababu sisi haituhusu na wala haituathiri chochote kupita kwao hapa tuache jukumu hili huko...
  3. D

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Simba will win 1-0 then penalty whereby Simba again will emerge as a winner
  4. D

    Je, una tatizo lolote kwenye Computer au Website yako? Niko hapa kwa ajili yako

    UNAWEZAJE KUHAMISHA WIFI PASSWORD KUTOKA SIMU KWENDA KWENYE LAPTOP NA KUITUMIA NAONA MFUMO WA QR CODE UMEKATAA QUICKSHARE
  5. D

    Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

    Nimemuelewa mwandishi hasa ni paragraph ya mwisho ndio iliyobeba ujumbe , any way pengine hao watu ambao wengi tulitegemea kualikwa wakaalikwa mwisho bado siku 29
  6. D

    Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

    Tatizo hujitokeza pale mwanaume mzima unavisha pete huku ukisujudu as if she is going to be a head in the family those are the outcome bear with them nig*
  7. D

    Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

    Watanzania tungejikita kujadili nani awezae kutatua matatizo ya msingi tuliyonayo tangu miaka 60 ya uhuru badala ya mambo ya kujaza watu wakati ufumbuzi hakuna 1. Tujadili kwa sasa hakuna ufumbuzi wa kudumu umeme nchini tegemeo ni maji kama chanzo kuna vyanzo vingine kama nyuklia havijadiliwi...
  8. D

    Marekani yaanza kulalamika vita vyake na Houth. Yasema haijawahi kupigana vita kama hivyo tangu vita vya pili vya dunia

    Kwa hiyo Vice Adm. Brad Cooper ndio Marekani na ndio marekani wanamtegemea anachokisema ndio ukweli
  9. D

    Kwa hili tatizo la umeme Mama hasikii kilio cha wanaye

    Wanasema Julias Nyerere hakuna transmission line na umeme upo tuu na hakuna pesa za kuweka line hivi hii inaingia akilini? na Mtera nasikia kinu kimoja kimetumbukia majini sijui habari hizi kwetu sisi zinatusaidia nini.
  10. D

    Kifo cha Lowassa: Rekodi ziendelee kuwekwa sawa vingenevyo historia itapotea

    Na watu wangemsikiliza Polepole aliyetumia lugha ya malaya?
  11. D

    Utaratibu wa Mazishi ya Kikatoliki

    Suala la kubarikiwa na kuzikwa ni masuala mawili tofauti
  12. D

    Utaratibu wa Mazishi ya Kikatoliki

    UTARATIBU WA MAZISHI YA KIKATOLIKI • Taratibu za Mazishi ya Kikristo Kisheria Sheria ya Kanisa Katoliki ( 1177 – 1185) inasema kuwa ni haki ya kila muumini mkatoliki kufanyiwa Ibada ya mazishi ya Kikristo isipokuwa kama amepoteza haki hiyo kwa ukaidi wake mwenyewe. Haki hiyo inaambatana...
  13. D

    Nimepata mgeni yuko rafu sana

    Hiyo ya No2 huwa inaniudhi sana halafu je kitanda akiamka anatandika? kwenye makochi anapaachaje
  14. D

    Waumini wa Kanisa Katoliki tugome kwenda kanisani kwa shinikizo la viongozi wetu kumhoji Papa Francis, Vitu anavyoruhusu ni kinyume na Kanisa letu

    Hivi wewe umeshawahi kujiuliza Mfano Yesu angalikuwepo zama hizi hao mashoga angewakimbia? au kuwalaani au kutoa hukumu wafe? vipi yule mwanamke mzinzi alisema nini kwake nakuambia tunavyohukumu sisi ni tofauti anavyohukumu Mungu bado nasema na ninasisitiza kusema hiyo siku ya hukumu watu...
  15. D

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ungekuwa unayajua makusudi ya Mungu wala usingesema haya.
  16. D

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Tatizo kubwa la watu ni kutoelewa na kupenda kupindisha ukweli kuwa uongo na kutoushughulisha ubongo kutaka kuelewa kipi ni kipi ndio maana hata Yesu hawakumuelewa kabisa na hatimae walimuuwa kwa nini alikaa na wanyang'anyi na wazinzi na hakuchagua kukaa na makuhani na viongozi wa dini hili...
  17. D

    Some truth is coming out, but is it the whole truth? Given this truth, I believe it's time to cool down, pause the fighting and reflect

    Kuna kitu cha kujifunza kabla ya kufanya maamuzi ya haraka kaa tulia tafakari then maamuzi yako yatakuwa sahihi.anyway kama ishatokea ni funzo huwezi tena kuzoa maji yaliyomwagika wakae hao waliotekwa pande zote waachiane maisha yaendelee sidhani kama jamaa walioanzisha watarudia itachukua muda...
Back
Top Bottom