Search results

  1. V

    Tanzania Revenue Authority Employment Opportunities

    mimi mwenzenu nilipewa kimemo nimpelekee mkubwa pale makao makuu nikafundishwa na kichaga kidogo cha kujibia salamu..nimefika pale jamaa kanisalimia kichaga nikamjibu alipotaka kuingia zaidi nikamwambia mimi ni meku mwenzake ila sijaishi sana uchagani muda mrefu..akaniambia nisubirie tu barua ya...
  2. V

    Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

    sasa hapo ndo ufikirie una mtu wa UDSM na mtu wa chuo kingine kama Tumaini au St Augustine lazima mtu wa UDSM abebe ndoo
  3. V

    Vyuo hua vina matter katika kuajiri?

    vyuo vikuu nchi nzima havizidi vitatu..vilivyobaki vyote ni vya mchangani....
  4. V

    LL.B 1st class holder

    Ist class ya Tumaini?nyambaf..ni sawa na pass ya UDSM...maana hicho chuo mnadanganywa mnapewa marks za juu ili kuvutia biashara..
  5. V

    Uzoefu wa kufanya kazi sudani+afghanistan

    na wewe haujatulia sudan au afghanistan nayo ni exposure au matatizo?
  6. V

    Why UDOM is being isolated?

    UNIVERSITY OF DSM IS THE ONLY UNIVERSITY IN TANZANIA...nimemnukuu marehemu Professor Haroub
  7. V

    Why UDOM is being isolated?

    Ndugu unaposema kuwa watu wanaoogopa UDOM watawafunika hapo ndo unapokosea..kama suala ni kufunikana,itachukua zaidi ya miaka 200 kwa UDOM kuvifunika baadhi ya chuo hapa nchini..kumbuka kuwa chuo siyo majengo..ni msingi wa kitaaluma uliopangwa kwa muda mrefu..haiwezekani chuo rais anatoa ahadi...
  8. V

    Why UDOM is being isolated?

    wapi na gazeti gani?na walitoa sababu gani?sidhani kama kuna mtu anaweza kutangaza kazi akaweka exceptiona l ya udom..tatizo ni nini?ubora wa elimu au?kutambulika kwa chuo kimataifa?sababu za kisiasa?tunataka tufafanuliwa ili tujue sababu ni ipi tuweze kuchambua kwa weledi...
  9. V

    Beatrice Shelukindo apokea vitisho

    Sheria inakulinda kama una ushahidi ambao unao bila kujali kama kuna uhalifu ulifanyika kupata huo ushahidi..
  10. V

    Pspf interview

    mmh pale..umefanya maandalizi ya kuchakachua?au jina lako la mwisho yaani la ukoo linabebeka?
  11. V

    wap nazipata hizi ofisi

    zitakuwa pale jengo la utumishi kivukoni
  12. V

    Nssf

    kweli mkuu tutajie taasisi inawezekana wengine tushawahi kufanya interview huko au tujue hata wakitangaza tusijusumbue kuandika application mkuu
  13. V

    Kanumba na lugha ya Kiingereza

    My mother is living in smoke town(moshi)
  14. V

    It position at barick gold mine

    Wadau kama kuna mtu ana info yeyote nasikia barick wametangaza nafasi ya kazi ya it
  15. V

    Nssf

    Thanks a lot for the info mkuu..hili ni tatizo la kitaifa watu wanatangaza kazi wakati hawajajipanga matokeo yake candidates watakuja kuitwa wakati watu washasahau na washajipanga na mambo mengine
  16. V

    Kanumba na ray

    hivi jamani hivi wanavyofanya akina kanumba na ray ni movies au michezo ya kuigiza?mbona hawana mvuto kabisa?kuna siri gani juu ya wao kupewa airtime ya kutosha na media zetu?
  17. V

    Nssf

    Wadau kuna yeyote anayejua kama kuna kilichoendelea katika ajira za nssf mara baada ya kufanya written interview pale ifm?mimi nilifanya katika i.t position
  18. V

    Nafasi za kazi TIRA

    Sorry ni mwisho wa March ndo tulifanya interview zile nafasi za NIDA
  19. V

    Nafasi za kazi TIRA

    jamani kuna mtu anajua kuhusu ziile nafasi za NIDA tulifanya interview tangu mwishoni mwa April ila mpaka leo ni kimya sijasikia lolote au watu washaitwa?
Back
Top Bottom