Search results

  1. K

    Ni lini mabenki na vyuo vikuu vitatoka nje ya mipaka yetu?

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(The Open University of Tanzania) kipo Rwanda,Kenya na Namibia.Je hicho sio chuo Kikuu cha Tanzania? Acha kijidharau.
  2. K

    Serikali inunue shares za Kq, Precision Air.

    Precision Air ni Kampuni ya Watu binafsi na Ina utaratibu wa kupata mitaji kupitia soka la hisa.Kwa nini isitoe right issue ili kupata mtaji zaidi? Serikali ina kazi ya kusimamia ushindani wa biashara na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji.Labda kama ni pesa zitokanazo na mdororo wa uchumi...
  3. K

    Do's and Dnt's kama unalipenda Gari lako

    Usibadilishe madereva mara kwa mara kwani wengine ni vichaa huharibu gari kwa mwendo mbaya na kupiga resi zisiso na mpango.Endesha gari yako mwenyewe ukiwa dereva au mpe dereva mmoja tu.Pia usibadilishe mafundi mara kwa mara kwani wengine wanatafuta pesa tu kwa kutotengeneza gari lako na...
  4. K

    Assist Please!!! Posta wizi balaa... imekuwa too much!

    Inawezekana anatangaza huduma za DHL na nyingine binafsi kwa sababu sijawahi kupotelewa na mizigo miaka kumi sasa naitumia posta.ELEZA VIZURI ULIMWONA NANI POSTA AKASHINDWA KUKUSAIDIA ILI USAIDIWE.FUATA TARATIBU VIZURI KWA WAHUSIKA NA VIELELEZO VYAKO HAKIKA POSTA WATAKUSAIDIA.ACHA KUCHAFUA JINA...
  5. K

    Naombeni msinilaumu kwa uamuzi niliouchukua kwa mume wangu

    Shida imeitengeneza mwenyewe.Mwanzo inawezekana ulikua bize ukasaidiwa na housegirl.Mkoleze mumeo ataacha kwenda nje na mweke bize ili asahau wa nje.Pia chukua huyo mtoto wa nje muishi nae itaondoa mawasiliano yao.Nakulaumu kwa sababu mwenzako alichimba kaburi na wewe ukaliongeza ukumbwa ili...
  6. K

    Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

    Vyuo vyote Tanzania vinasimamiwa na TCU.Hivyo ubora na mitaala ya kufundishia unathibitiwa na TCU.Hivyo wahitimu wanapimwa na nini wanaleta kwenye jamii katika kubuni na kuleta maendeleo.Tusilewe sifa za chuo kikuu fulani lakini tufurahie mabadiliko makubwa ya ongezeko la vyuo hivyo ambalo...
  7. K

    How to make a Natural and pure home made VIAGRA

    kipimo hujasema.tikiti maji kubwa kiasi gani kwani hata dogo kama gololi na limau mbili.Au ratio in ipi vile.Pia wanywe kiasi gani kwa siku.Kikombe kimoja au kijiko kikubwa kimoja cha kulia chakula.Kama hujasema kipimo wengine watatumia bila mafanikio na wengine watakufa kwa kunywa kiasi kikubwa...
  8. K

    Kununua GARI

    Kwa maelezo yako jamaa alitaka kuuza gari na wewe ukanunua.Sioni sababu za kurudisha kwani mtu yeyote angeweza kuinunua na isingewezekana kurudisha.Kwa sababu ya busara na urafiki unaweza kumpa gari yake na kuacha kununua gari za marafiki zako kwani huruma itakufanya ugombane nao.
  9. K

    Kijana kawa fired

    Hahui sheria za ajira.Ukikosa kazini siku tano mfululizo umejifukuzisha mwenyewe.Tuwe makini na kazi kwani sasa hivi soko la ajira halifai.Wapo vijana wengi wenye sifa lakini kazi hakuna.
  10. K

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Wanajamii tutake tusitake wageni wamekuja kuchuma tu.sisi ndio tunaweza kuleta mafanikio nchini.ubinafsishaji ulioshinikizwa na imf na benki ya dunia ulikuwa na madhumuni ya kuchota rasimali zetu na kupata masoko ya bidhaa zao huko walipotoka.ukiangalia ttcl imeweza kupona misukosuko yote hii...
  11. K

    Employment-job seeker paradox

    Employers do look for outstanding performers to help them achieve their most preferred objective,profitability and sustainability.
  12. K

    Wakina dada kuvaa viatu vya Plastic,je ni urembo au umasikini ?

    Viatu vya plastic sehemu zenye baridi huvaliwa kukinga miguu kupasuka.sijui hapa Dar wameiga kwa watu gani kwani mwanza huvaliwa kwenye viwanda vya samaki.Wanaovaa wana sababu zao labda tuwasikilize michango yao.Lakini wengine ni mkombo tu hawana sababu yeyote.Uchumi nahisi siyo sababu kwani...
  13. K

    Wakuu naomba msaada wa interview qns/duties za payroll accountant

    Hongera kwanza kwa kuwa miongoni mwa wachache walioitwa kwenye usaili.Wengi wamekushauri vizuri ila uvae kama mhasibu usiache kuvaa tai iendane na shati na suruali yako.Ukiulizwa swali jibu kwa ufupi na kama huelewi chochote omba liulizwe tena ili upate muda wa kutafakari majibu.Usiwe mwoga...
  14. K

    Hongereni wajinga Wafuatao...kwa sikukuu yenu murua.

    Wewe inaonyesha jinsi sikukuuu hii ya leo ulivyo mjinga.Ladba ukienda kwa babu leo jangwani akili itakurudia sawasawa la sivyo mwaka mzima utakuwa mjinga.
  15. K

    How is this possible?

    It is possible because they may have born in different years but same month in different dates.
  16. K

    nafasi za kazi

    It is good to assist others today cause others will change life for a better living for us all tomorrow. But remember assist and not expect return.
  17. K

    Utafanyaje?

    Kazi waliyokupa fanya mpaka iishe kwa sababu viingilio vyao ni gharama ya kukuweka wewe pale uwaburudishe.Waliolala wamekolea na burudani.Wenye mambo mengine inawezekana umewakuna sana wanasemezana wenyewe.Wewe chapa kazi mwanangu kwa kupata bahati ya hiyo ajira.Usichezee ajira chezea pesa baada...
  18. K

    Makalio yananiwasha

    Angejisugua kwenye mti.
  19. K

    Hivi nini hasa suluhu ya ukosefu wa ajira?

    Tatizo la ajira ni la ulimwengu Mzima.Wakati wa mdororo wa uchumi Kampuni ya ndege ya Uingereza ilipunguza wafanyakazi zaidi ya 500 na kufunga safari sisizo na faida.Hata Amerika imetokea na Obama anahangaika na kufufua uchumi na makapuni ya magari yalishapewa fedha za kuyasaidia yasife(stimulus...
  20. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Wengine wanaandika kwenye magari makubwa y amizigo"Samaki mkubwa usiogope kuuliza bei"
Back
Top Bottom