Search results

  1. dadeez

    Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    VIpi kuhusu mbwa mbona hamuwataki huko zanzibar, kama kila mnyama anayo haki ya kuishi??
  2. dadeez

    Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Hii video ni ya muda mrefu saaanaa.. na sidhan kama ni Tanzani ama labda mpakan mwa nchi jiran.. ila video ya zaman ishazunguka sana mitandaoni.. mkuu sijui ulikua wapi??
  3. dadeez

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Nitafute tushirikiane nina idea nzuri upande wa entertainment.. naamini nzuri sana na yatofauti, itafanya vizuri sana.
  4. dadeez

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Umeongea point sana sana.. rulitakiwa tuangazie hayo maeneo lkn wengi wetu tumeshikilia tu usalama usalama
  5. dadeez

    Ukikuta begi limetelekezwa limejaa maburungutu ya pesa liache kama lilivyo, usijizidi akili kujiona mjanja ukimbie nalo

    Sasa wanaweka hiyo GPS kwa ability ya nini? Lengo hasa ni nini?? Hilo begi linakua lmetegeshwa au ni vipi???
  6. dadeez

    Wazazi tuache kutesa watoto wetu kwa kuwakumbatia ndugu

    Mi naona hata huyo mke sio ndugu yako, sio damu yako, ukipata vijisent atleast kula na damu yako lakin sio jamaa wa kijiji kimoja.
  7. dadeez

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Update browser yako to a new version ama check compatibility ya browser na jamiiforum web Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
  8. dadeez

    Mamlaka zisifumbie macho udhalilishaji huu anaopitia DC mstaafu Jane Nyamsenda

    Kuna vi element vya kampeni uenda ukudhamiria lakn andiko linatanabahi kampeni. Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
  9. dadeez

    Natafuta Designer Chipukizi mzuri wa Android Apps na IO's

    Kuna namna upo sahihi pia.. naweza kuonekana hivyo japo sio lengo langu hilo, zipo sababu kadhaa za kuweka hizo requirements kulingana na WAZO KUU lililopo mezani linataka vijana zaidi ambao naamini wataendana na hilo wazo na linawagusa zaidi wao.
  10. dadeez

    Natafuta Designer Chipukizi mzuri wa Android Apps na IO's

    Lengo la kuweka ukomo wa umri ni kulingana na lengo kuu la tunachokiendea kukifanya.. zaidi nahitaji kijana mwenye nguvu na atakaenyumbulika na mabadiliko ya Dunia hasa kwenye Teknolojia na Burudani. imani yangu inantuma kuwa umri huo ndio sahihi kuwapata vijana wa namna hiyo.
  11. dadeez

    Natafuta Designer Chipukizi mzuri wa Android Apps na IO's

    Kama Title inavyosema hapo juu, Natafuta Designer Mzuri mwenye kujiamini kwenye Area zifuatazo: 1. Android & IO's Apps Designing 2. Website na Graphics Designing 3. DataBase Sio lazima awe na uzoefu mkuuubwa kwa maana labda awe amefanya kazi na companies kadhaa au zinazotambulika hapana...
  12. dadeez

    Naomba ufafanuzi – alfajiri, asubuhi, mchana, alasiri, jioni, usiku, usiku wa manane

    Kwanza nimewasikia wengi humu wanakosea sanaaa, Kiswahili fasaha NI USIKU WA MAANANI na SI USIKU WA MANANE yaani usiku wa M/Mungu kwa sababu ya utulivu wa usiku huo, kila kitu kimetulia, viumbe wengi wamelala nusu ya kufa.. swali jepesi kwa nini kusiwe na USIKU WA MASABA au USIKU WA MATISA? n.k...
  13. dadeez

    Usilolijua kuhusu vibubu vya kutunzia pesa

    zinapatikana wapi hizo card?
  14. dadeez

    Mahakama Kuu yamtaka Spika wa Bunge Job Ndugai kufika Mahakamani leo

    Basi ilikua sawa kwa CAG kutoenda kuhojia na Spika/kamati ya maadili Bungeni
  15. dadeez

    Ilipokosea SERIKALI mpaka kupelekea hali hii.

    Wakuu kwa mtazamo wangu na kwa Elimu yangu ya kawaida ninaona dhahiri kabisa SERIKALI ilikosea kwenda na 'beat' ya wimbo wa TEKINOLOJIA haikwepeki katika dunia ya sasa inayokua kwa kasi ya ajabu ya UTANDAWAZI. Nina yasema haya nikiwa nimelenga kwenye hali ya matamko na mikakati inayoibuka kila...
  16. dadeez

    Nahitaji watu wawili tushirikiane kuvuna pesa hizi

    UWOGA WAKO NDIO UMASIKINI WAKO, Hakuna tajiri asiepigwa(kutapeliwa), hakuna shujaa asieanguka.
  17. dadeez

    Fahamu jinsi ya Kulink/ Kuregister Paypal account Tanzania

    Binafsi niliregister na Paypal account siku ya pili tu nikafanya online purchase ebay kwa majaribio, juzi nimetoka kupokea mzigo wangu posta toka China, sikufanya verification na wala sijapata hizo 4 digits sasa sijajua next purchase itashindikana ama la?
Back
Top Bottom