Search results

  1. C

    Naombeni ushauri wa kumuacha mume wa mtu

    Ninaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa kunioa. Nina rafiki wa kiume ambaye nilimweleza kila kitu na akakubali kuwa na mimi kwa hali yoyote...
  2. C

    Kupendwa raha jamani

    Mmh huo ni mwanzo tu na ukiona unanyenyekewa sana ujue huyo kaachika mahali so anaishi kwa wasiwasi na kuna kitu anatafuta ndio maana unafanya yote hayo huna lolote so live your life don't pretend
  3. C

    Maswali muhimu ya kujiuliza kufuatia mkutano wa CCM Morogoro leo

    Mie mwenyewe nilishangaa sana mambo waliyoyaongea CCM, kumbe wanaiyogopa sana CHADEMA, mbona si chama kingine??? Alafu kitu kingine kilichonishangaza ni kuweka mwanamziki anayeimba nyimbo za mapenzi ambazo haziendani na maudhui ya mkutano wenyewe, jamani tutajifunza lini? au lengo ilikuwa kuvuta...
  4. C

    Sugu, Ray C, Linah, Juakali, AY, Diamond - Walivyokuwa kabla hawajawa NYOTA

    Mmh aiseee, Diamond ana mdomo mpana jamani, hivi D chapati unakunja kweli?
  5. C

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Wanajamii kwani hamjui nani alikuwa anampa kiburi jamani? Baba yetu kambeba sana swaiba Nyoni, kwani hamshangai mbona yeye hakuwahi kuongea chochote kabisa kuhusu sakata la madaktari? hakutaka aguswe lakini maji yalifika shingoni. Hivi watanzania tutakuwa wapole mpaka lini??? au hadi Yesu arudi...
  6. C

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    si mchezo kweli tunapokwenda pabaya. eti wameongezewa posho kutokana na ugumu wa maisha, kwani mwannchi wa kawaida hafeel huo ugumu wa maisha?
  7. C

    Kitchen Party Bubu: Nafasi ya mke ndani ya ndoa (Kwa wanawake tu) With Love to You Cheusie

    AshaDii umesomeka mpendwa, umenifurahisha sana kwa somo zuri na laiti wake wangezingatia hili kusingekuwa na nyumba ndogo wala divorce. Tatizo nasi tumekuwa wabishi siku hizi na kujiona wajuaji na hatupendi kujishusha. Mume atabakia kuwa kichwa cha nyumba tu hivyo, tuwapende, tuwajali...
  8. C

    Nalivua pendo...

    Mie nina swali wanajamii; hivi kama kwenye relationship everything is ok kasoro tu kwenye majambozi hayaendi sawasawa(namaanisha hauridhiki au wakati wa shughuli unaona unaumizwa tu) je utalivua pendo au utavumilia???
  9. C

    Gari linauzwa

    Linaanzia 16 million na kuna maongezi, ukihitaji piga tu simu mkuu maana kila mteja kashanipa offer yake aliyonayo labda yako yaweza nirithisha. simu number nimetoa mwanzoni if you are real serious.
  10. C

    Ndoa au ndoano?

    Thanks a lot Seniorita, I think umenikuna kweli. Love is very important phenomenon, if you love each other with all your heart you will have endless marriage and unbilievable one (nothing is impossible under the sun). just find someone you real love, don't play a game (hit and run) it will cost...
  11. C

    Stollen Kisses-------------

    Hichi kizazi cha Dot Com hakina cha stollen kisses wala nini wako ngangari mtu wangu wewe tu na zilipendwa zako:whoo:
  12. C

    Ndoa au ndoano?

    Ndoa za siku hizi bwana! Wanajamii naomba mnisadie maana ndoa za siku hizi hazidumu kabisa ni mdudu gani kaingilia kati? Ndoa nazifananisha na mua, mbona wanandoa wanaanza kula kutamu na kumalizia kuchungu wakati inatakiwa uanze kula kuchungu umalizie kutamu. nina swali moja kwa kila jinsia...
  13. C

    Gari linauzwa

    Manufactured date 1990 Engine capacity D14 Seat capacity 25 ppl TRA status no debt (full kulipiwa all mapato) It is in good condition. sababu ya kuliuza nimeagiza lipya natafuta hela ya kumkomboa mwenzake. Ukihitaji utaliona live picha yaweza kukudanganya Good time all guyz!:frown:
  14. C

    Gari linauzwa

    Not applicable.
Back
Top Bottom