Search results

  1. W

    Simu ya Android yaeza tumika TZ?

    Sure, I meant inayotumia android!! yenyewe ni Huawei. Nimerekebisha, thanks
  2. W

    Simu ya Android yaeza tumika TZ?

    Asante kwa ufafanuzi. Kuhusu hio ksh 8000 sina uhakika, ila huku nilipo hio 2.2 inauzwa kama Tsh 450,000
  3. W

    Simu ya Android yaeza tumika TZ?

    Nashukuru sana kwa taarifa
  4. W

    Simu ya Android yaeza tumika TZ?

    Nashukuru kwa taarifa
  5. W

    Simu ya Android yaeza tumika TZ?

    Habari zenu wanajamii forums.. Naomba kufahamishwa kama simu ya HUAWEI inayotumia system ya ANDROID 2.2 inaweza kutumika kwa line za Bongo? Au kuwa flashed na kuweza kutumika? Thanks in advance
  6. W

    Kili Music Awards 2011

    Yaani hata mie nasubiri kwa hamu blog zoote hadi sasa hawajaweka. Ngoja tungoje wadau
  7. W

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Nashukuru sana mkuu kwa taarifa
  8. W

    U-bodyguard kwa Rihanna unalipa!

    MR he heeeee
  9. W

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Naomba kujibiwa swala hili kwa mwenye ufahamu tafadhali. Huyo babu mnasema ni mchungaji/askofu and the like. Na kuwa imani ndio inaponya. Je watu wa dini zingine eg waislamu nao wanaenda? Je wanaoenda nao wanapona wakibaki na imani ya dini zao? Msaada tafadhali
  10. W

    Mjadala kuhusu Babu wa Loliondo na dawa yake.

    Ur story has touched me.. Somo lako ni zuri sana kuwa imani inaponya
  11. W

    Nimjibu nini binti wa aina hii.

    Mie huwa ndio sijisumbui na hawa watu, tena wewe huna mtoto mdogo unaona tabu gani? Rudisha kwao utafute mwingine. Hawatabiriki hawa watu na hawana huruma wala adabu
  12. W

    Eti mke bora hutoka kwa mungu?

    Huo ni ulimbukeni na kutojiamini,mke bora halafu uende kwa mchungaji au pasta akuombee,wengi wao ndiyo wanaonja kidogo then wanakupa wewe ni uongo mtupu,jiaamulie kusoma kitabu cha Mungu cha imani yako muombe Mungu na kisha funga na pia angalia yupi akufaaye the utaona tu kuwa fulani unampenda...
  13. W

    Lazaro Nyalandu: Ni mchapakazi sana, au ni media coverage?

    Kweli JF ni kiboko,me sikuwahi kumjuwa huyu jamaa ila swala la ulokole na kupenda mabinti nasikia ndiyo zake,KUNA MTU ANAFAHAMU HISTORIA YA MKEWE?NA WAMEKUTANA LINI? NA ILIKUWAJE AKAAMUA KUMUOA YEYE BADALA YA YA WALE WA DAR WA3 NA YULE WA MORO? jamaa uliyesoma naye Kibaha na Ilboru nakukubali...
  14. W

    Habari zenu

    Nashukuruni sana wakubwa. Nimeshakaribia. Tutakuwa pamoja. Cheers!!!!!!!
  15. W

    Ujumbe kutoka Lamu!

    This is very sad. Mungu atunusuru
  16. W

    Habari zenu

    Habari zenu wenyeji humu nyumbani? Mimi ni member mpya naombeni nafasi nyumbani Its me Wailing
Back
Top Bottom