Search results

  1. G

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Aiseee mimi nimeshangaa anaacha kuchangia report ziliko mbele anaanza kujipigia kampeni na kuongelea bajeti ijayo! Hili ni bomu kweli kweil!!
  2. G

    Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV

    Hivi naomba niulizie kwa Jussa Katibu mkuu wa CUF kikatiba anakaa miaka mingapi madarakani? Pili hivi katiba yao inasemaje kuhusu mtu kugombea Ukatibu mkuu?
  3. G

    Hivi mbona VODA na TIGO zimekuwa ghali sana???

    WanaJF nasikitishwa na kushangazwa sana na TIGO kwa sasa jinsi gharama za kuongea hata tigo kwenda tigo zilivyopanda!! Kwanini imekua hivi? Yaan dakika 4 Tshs.1000!!? Wadau nisaidieni?
  4. G

    Hii imekaaje toka Igunga kusanyiko Dar?

    Katika hali ya kushangaza wanaJF wenzangu eti kwny ule uchaguzi uliofanyika Igunga na Magamba kushinda kwa kushindwa,, wakaanza kupita mitaani huku Moshi kusheherekea na kutoa maneno ya kebehi kwa wapinzani wao i mean CDM,,sasa ushindi wao huko kwa wananchi ambao bado hawajafunguliwa kiakili ndo...
  5. G

    Hii imekaaje toka Igunga kusanyiko Dar?

    Aiseee hawa CCM kweli wamechanganyikiwa kabisa!!! Hata huku Moshi eti wanaandamana kusheherekea ushind i wa Igunga na kufunga barabara!!! Ama kweli CCM tunaenda kuizika soon.
  6. G

    Mahakama Kuu ya Tanzania yaamuru DOWANS kulipwa!

    Daa kumbe sakata la Dowans kulipwa bado linaendelea? nimesikia tu kwa mbali kwny taarifa ya habari ITV saa mbili hiii!! Wadau vp hii imekaaje?
  7. G

    Igunga Special Photos

    Mimi nimefarijika sana na picha hizi kwasababu naona vijana sasa wameamua!! kule kwa Chama Cha Magamba naona ni vikongwe watupu kama walivyo wapiga kampeni wao.CDM oyee!!
  8. G

    UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

    WanaJf wenzangu ni wazi kwamba kilichotokea leo uwanja wa taifa ni aibu kubwa na fedheha kwa nchi yetu!! Kitendo cha Tanesco kukata umeme kwenye tukio kubwa kama la leo tena linaloshuhudiwa na ulimwengu mzima kupitia DSTV tena fainali ya kombe la kagame inadhihirisha wazi kua Tanesco...
  9. G

    UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

    Tanzania hii aibu nani abebeshwe lawana!! TANESCO au SERIKALI!?
  10. G

    Jamani Bunge ni mahali pa kupiga story kwa wabunge viti maalum!!?

    WanaJF leo saa 2 usiku kwenye taarifa ya habari TBC1 nimeshangazwa na Mbunge mmoja viti maalum alipokua shuhuda wa tukio la Mbunge wa viti maalum aliyeugua ghafla bungeni mapema leo asbh!!! Shuhuda huyo alipoulizwa akadai walikua wamekaa karibu mule bungeni wakawa wanaongea mambo yao ya nyumbani...
  11. G

    Mukama ameikejeli Katiba!

    Mukama mimi naona yeye ni mwana propaganda kuliko hata Makamba! Kama huyu ndio mtendaji mkuu wa Chama Cha Magamba (CCM) basi chama hakina Katibu kabisaaaa!!! Kwa kauli zile za mukama nafikiri CCM tatizo bado liko pale pale. "Aliponiacha hoi ni pale aliposema kjuwa CCM ni chama cha matajiri...
  12. G

    Nguvu ya uma yashusha bei za bidhaa kenya!!!

    Hii Nchi ndugu zangu imelaaniwa kweli kweli na hasa hiki chama tulichokipata ridhaa ya kutuongoza (CHAMA CHA MAGAMBA)
  13. G

    Sherehe za muungano.

    WanaJF wenzangu mimi nauliza je JK atatoa hotuba leo? Au atapotezea tena! Nimewasikiliza watangazaji wa TVZ na TBC1 wakidai ni bora leo atoa hotuba ili kukidhi matakwa wa watanzania wengi. La sivyo..............
  14. G

    JK: Anachosema Nape ndio msimamo wa chama

    Mimi nauliza katika hao mapacha yeye JK atakosa kweliii!?
  15. G

    Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini!

    Unajua huyu dhambi ya udini bado inamtafuna kwasababu udini umeanzia CCM sasa wanajifanya kujisafisha....!! Halaf mm nashindwa kuelewa huu udini raisi anauzungumzia kila apatapo nafasi ya kuongea uko wapi n na nani anaueneza? Naomba JK atafute chorus nyingine hii tumeichokaa!!!
  16. G

    LHRC: Wabunge upinzani wafunika CCM; Makinda dhaifu!

    Na Asha Bani WANAHARAKATI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamesema Spika wa Bunge, Anne Makinda, ameshindwa kusimamia vizuri kanuni na maadili ya Bunge katika kujadili masuala yenye maslahi kwa wananchi. Kwa mujibu wa wanaharakati hao, udhaifu huo wa Spika Makinda nusura...
  17. G

    Muswada Katiba Mpya, Hoja ya Muungano moto Zanzibar!

    WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais (Muungano) Samia Suluhu Hassan, wamenusurika kipigo baada ya kutokea vurugu kwenye kikao cha kujadili muswada wa mabadiliko ya Katiba mpya visiwani Zanzibar. Sitta, alikuwa akiwasilisha...
  18. G

    TBC ni mali ya ccm?

    Jamani kilichomtoa Tido pale ni kuruhusu mijadala ya "Harakati majimboni" kipindi cha kampeni ambapo CCM walikua hawashiriki!! Baada ya Tido kuondoka TBC basi imekua ya CCM hamna la maana lolote wanafanya zaidi ya kurudia tu kama kuna mambo ya CCM ya zamani ndio maana hata nilivyoona leo jinsi...
  19. G

    Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

    Hii nchi kwa kuunda tume inaongoza!! Halaf tume zenyewe majibu hazitoi, ile tume iliyoundwa ni janja ya nyani kule wizarani wamekaa wameona njia nzuri ya wao kwenda kupata kikombe kwa babu ni kujifanya wanaenda kuchunguza...wameona waziri wa afya amekunywa wanataka kukataza! Sisi wananchi...
  20. G

    Sitta asema CCM wachukue hatua si kukimbilia dola!!

    Waziri wa Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta amesema CCM wanatakiwa kujiangalia upya kuhusu mwenendo wa viongozi walio wengi wa chama hicho ambao wanakipeleka chama pabaya na chama kupoteza umaarufu mbele za wananchi!! Sitta amedai chama kiko kwny hali mbaya sasa kutokana na baadhi ya viongozi...
Back
Top Bottom