Search results

  1. N

    Slaa kaiba kipaumbele cha Lowassa

    huna jipya bora nyamaza.
  2. N

    Hii ndio Nyumba Mpya ya Kisasa ya Mbunge wa Chadema Mwenye Makelele Mengi Sana!!

    We Le Mutuz mbona unakua mshamba kiasi hicho? hiyo ni nyumba ya kawaida sana.
  3. N

    Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

    Wewe bibi comment yako inaonyesha wazi bila kificho ni jinsi gani unaitamani CHADEMA. Ha ha ha.
  4. N

    Exclusive Live updates:Simba Fc vs Mbeya City

    vijana wazuri Eeee
  5. N

    Mahakama Kuu yapeleka kesi ya Lwakatare 'chamber court'

    Ndugu yangu uwa unafikiri kwa kutumia nini? yaani wewe ni janga na takataka kabisa.
  6. N

    Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu maandiko yako hapa JF, nilichogundua ni kua huna KITU KICHWANI.
  7. N

    DOUBLE STANDARDS ZA CHADEMA, Lwakatare angekuwa kiongozi wa CCM wangeandamana kushinikiza ajiuzuru

    Ndugu yangu umetumia dose uliyopewa na Dr? au dawa zimekushinda?
  8. N

    Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Mkuu mbona unauliza na kujijibu mwenyewe?
  9. N

    CHADEMA, Kulikoni Jengo la Ghorofa Lililoporomoka?

    Sema wewe na siyo Watanzania, maana wengine tuna akili timamu.
  10. N

    Nakerwa na wananchi wa Kanda ya Ziwa

    Ndugu kwani ni lazima kuchangia kila mada?
  11. N

    Aokoa ndoa yangu na maisha yangu,mtumie na ww

    Kweli kabisa, waganga wanaamua kutumia JF kwa matangazo.
  12. N

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    Mimi pia ni wa kanda ya ziwa, husitusemee. Labda Zitto ni jembe kwako.
  13. N

    Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

    Mkuu hapo umesema kweli kwa matokeo ya Arusha ya Yanga kupewa goli inauma sana, na uo ushauri wako ni wa msingi sana kufuatwa ili isijirudie tena.
  14. N

    Simba v/s Azam fc, Yanga v/s Oljoro JKT Live updates

    Tupeni raha Taifa kubwa.
  15. N

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Polisi wamelazimika kufyatua mabomu ya machozi huko Mbagala kuwatawanya waumini wa dini ya Kiislamu waliokerwa na kitendo cha mwanafunzi mmoja anayetuhumiwa kumnyang\'anya mwenzake Kuraan na kuikojolea.
  16. N

    Ushahidi wa Udikiteta ndani ya CHADEMA.

    We acha tu, Ukishaonja Demokrasia Udikiteta hauna nafasi tena. Ni ndoto za mwendawazimu kufikiri kuwa Mtu yeyote anaweza kuitawala Tz kidikiteta. Atachofanikiwa ni kuchafua nchi tu lakini kukaa hatakaa. Namaanisha udikiteta katika maamuzi yake, na siyo kuchekacheka ka mtu fulani.
  17. N

    Ushahidi wa Udikiteta ndani ya CHADEMA.

    CHADEMA- Mtei alimuachia Mbowe. Na mbowe sijui atamrithisha nani? Ninyi watu wa Kigoma mnamatatizo sana.
  18. N

    Ushahidi wa Udikiteta ndani ya CHADEMA.

    [akina Mtei, watatumia udikiteta na kumtupa nje kabla hajaingia hatua ya vidole. Je, huu sio udikiteta uliokithiri? Na watu kama hawa wakichukua nchi mnategemea nini? Huna Jipya Ndugu yangu, jitambue nchi yetu Tanzania ili tupate maendeleo tunaitaji Rais Dikiteta, hivyo kajipange upya uje tena.
Back
Top Bottom