Search results

  1. M

    Wito: GP Said Mwema Jiuzulu

    Yaaguju!
  2. M

    Hotuba Ya JK: Tafsiri Yangu

    Hivi JK angekalia kimya hoja hii akamaliza muhula wake km wengine na nchi ikaingia katika machafuko ingekuwa nini kwake?
  3. M

    Zanzibar itapojitenga na Tanganyika: Itaendelea kuliko Singapore au Dubai

    Tuwaache Zenji waende,wakiendelea si watatusaidia washirika wao wazamani na tutawaiga?Nendeni.Ila shida zikiwazidi MUSIRUDI! Nendeni,Maelezo yamenukuliwa toka kwa prof wa Uchumi,sie twabwabwaja tu!
  4. M

    Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

    Wajameni Hasninnyo anachohitaji ni ushauri, endaeleeni kumshauru vizuri dada yetu kabla mambo hayajaharibika.Nimegundua humu wengine wanamshauri vizuri,amependa hata mie nimependa lakini wengine wanamjadili mtoa mada na kushambulia,Lengo lake ni ushauri wana jf
  5. M

    Yusuph Makamba na Kiingereza

    Katika thread hii nimefaidishwa na CV ya Makamba (Hajui "ung'eng'e") Nafasi ya watanzania kuongea kiengereza ni tatiza la kihistoria, Waarabu walipokuja walikitumia kiswahili ktk utawala,biashara,dini,nk. Hivyo walikieneza toka pwani kuelekea bara. Wajerumani na baadaye Waingereza walipokuja...
  6. M

    Kwenu wataalam wa lugha

    Nashukuru sana X-Raster kwa mfano wako hapo juu ingawa unathibitisha maelezo yangu kuwa "HAKU" kutokana na muktadha wa neno la muuliza swali SIO NENO KAMILI bali ni mofimu mbili katka neno HA-KU-CHEZ-A ambazo hazipaswi kuwekwa pamoja na kuwa "HAKU" kama ulivyoeleza hapo awali pamoja na maelezo...
  7. M

    Kamati za bunge:hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano.

    "hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano" Tunalenga off target! Tudai katiba mpya itakayorudisha Tanganyika,madai km haya: sijui wabunge wa zanzibar wanachaguliwa na wapigakura wachache yatakufa kabisa! Tatizo ni la katiba,tumo katika Muungano ambao wengi hatuuridhii...
  8. M

    CHADEMA, CUF: Mpinzani halisi atajulikana kesho

    Naam,mwandishi anasema, "Ushauri wangu ni huu: Kila chama kiende vyake. Mpinzani wa kweli atajulikana baadaye." Time will tell,tusubiri tuone, mwisho wa ngebe utaonekana!
  9. M

    Vilaza ndio watu wa aina gani?

    "Kilaza" ni tafsiri SISISI ya neno la kiengereza "lay man" lenye maana - mtu wa kawaida, asiyekuwa mtaalamu. Neno hilo limepanuliwa kimatumizi ili kukidhi haja ya watumia lugha kama watangulizi walivyoeleza maana yake. Hivyo ukisema Malariasugu ni kilaza ina maana sio mtaalamu (hasa katika...
  10. M

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    1.Mchana inzi usiku mbu 2.Wanga wafe 3.Kaseme tena 4.Kudua na kugosha chedi nini? 5.Na kwetu wako 6.Mume hashindwi
  11. M

    Disemba 9 kila mwaka: Tunasherehekea uhuru wa nchi ipi?

    Ni muhimu kuzidisha kilio cha kudai Tanganyika na tujivunie nayo kama wao wanavyopenda kujinadi na Uzanzibar wao!
  12. M

    Kwenu wataalam wa lugha

    Nashukuru kwa maoni Naomba nichangie tena: 1. KIPALA a) Maoni yako unaposema 2/3 zinataja jambo lile lile "kutaja nafsi ya pili -umoja" tayari umeshataja dhima mbili: i) Nafsi ya pili ii) Umoja (idadi) Ndio maana nikazitenganisha hapo awali 2/3 katika maelezo yangu. 2. X-PASTER " HA na...
  13. M

    Kwenu wataalam wa lugha

    KU- HUWEZA KUWA NA DHIMA ZIFUATAZO: 1. Kudokeza wakati uliopita katika tendo linapokuwa katika ukanushi mf: Hakucheza 2. Kudokeza mtendwa jambo (nafsi ya pili - wewe) mf: amekupiga wewe 3. Kudokeza idadi (umoja) mf: amekuona (umoja) wingi : wamuwaona 4. Huweza kuwa ni sehemu ya mzizi...
  14. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Zilikuwa ni sauti za chini chini zilizosikika hapo awali kuhusu matatizo katika muungano, lkni sasa kilio kimekithiri mpaka 'mkuu wa kaya' kudiriki kuunda wizara ya kushughulikia kero za Muungano.Hata hivyo kila uchao malalamiko ya kila upande;yaani Zanzibar na Tanganyika yanazidi kuongezeka...
  15. M

    Siwezi kupeleka mwanangu asome Hapa!!!!

    N Na hapa ndo wapo break!
  16. M

    Kwenu wataalam wa lugha

    Ku- inaweza kuwa na dhima kadhaa katika maneno lkn inategemea muktadha, kutokana na mfano ulioutoa,kimofimu, dhima yake ni hiyo uloitaja tu.Ikitokea katika muktadha tofauti ndo huweza kubeba dhima nyingine,
  17. M

    Zitto aisumbua chadema; Chama chafikiri namna ya kumdhibiti?

    Nani amesema Zitto anatimuliwa? Hata kama ndivyo tuache taratibu za chama Zifatwe! Tuchape kazi tuwaachie wakubwa wetu wamfungishe virago!
  18. M

    Zitto aisumbua chadema; Chama chafikiri namna ya kumdhibiti?

    Chama si mtu, yeyote aletaye pumba aende tu.... Haiwi dini zinaendelea bila kuwa na walazileta, Chama ni watu wenye mawazo safi na mitazamo bora kwa kizazi kijacho na wala sio vizabizabina, TANGULIA DOGOOO!!!!!!!!!!!!!!!
  19. M

    Manyoya huwa yanawavutia mabinti

    Hilo ni "dudu washa!"
Back
Top Bottom