Vidonda vya tumbo havitibiwi kwa operation unless mtu amepata complications kama perforation
Je unajua hivyo vidonda vimesababishwa na nini, hii itasaidia kutibu tatizo
Mpe pole, huenda akahitaji kuonwa pia na psychologist/psychiatrist kutokana na uchache wa dalili ulizotaja, pia unaweza kutujuza kuhusu kutoka jasho sana, mapigo ya moyo kwenda kasi, hofu kubwa na dalili zingine zinazoambatana.
Jaribu kueleza kwa kina pia kuhusu maisha yake kiujumla yaani...
Inaweza kuwa chronic suppurative otitis media, hivyo utahitaji kufanya culture and sensitivity of the pus, xray and possible other imaging studies , kisha utapata matibabu ipasavyo including aural toilet with antibiotics au surgery kulingana na ukubwa wa tatizo.
Hiyo inaweza kuwa sciatica japo mimba bado ni ndogo, ni hali ya kawaida inawapata baadhi ya wajawazito.Hivyo unaweza fanya massaging ya mara kwa mara, epuka kusimama muda mrefu.
Pia hakikisha unapata choo laini ipasanvyo kwa kula mlo kamili Kwani mjamzito pia unaweza usipate choo kama kawaida...
Afanye hepatitis panels,hizo dalili zinaonesha ini limepata shida kidogo(acute hepatitis).kwa sasa asitumie dawa za asili au hospitali ovyo bila maelezo ya daktari kwani zinaweza leta shida kubwa kwenye ini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.