Umejibiwa vyema, ukifanyia kazi shauri hapo juu utapona.
Nami niongeze kidogo.
Ili uweze kusamehe basi acha kujiona wewe victim. Una mchango mkubwa ktk kile unachofanyiwa na unahusika pekee ktk the way una react. Maelezo mengi juu yamejikita ktk the way unavyoreact. Mimi ningependa ujifanyie...
Pole sana Leah, Mungu mwenyewe akufariji ktk kipindi kigumu hiki. Kama ni mpenzi wa movie basi poteza muda kwa movie moja inaitwa The Shack. Itakusaidia sana kiimani. Kama inavyoonekana showbox app au app yoyote unayoweza kupakua movie basi Tafuta "The Shack"
Akisema kama kiongozi wa shule nitamuelewa, lkn akisema kama kiongozi wa kiroho, mimba haijawahi kuwa dhambi hata siku moja. Ni sawa na kutibu homa na kuacha malaria au infection yoyote. Maana sio infections zote zinaleta homa. Je wasagaji wataadhibiwaje, maana hakuna mimba itakayoonekana.
Je...
Kwa askofu, mimba ndio dhambi wala sio uzinzi au uasherati.
Ina maana, ukitumia condom au madawa ya kuzuia mimba endelea na shule.
Ukitoa mimba Sawa endelea na shule
Ukifanya usagaji, endelea na shule
Ukifanya anal sex endelea na shule
Ukiwa mwanaume (huwezi para mimba) endelea na shule...
Huenda housegirl alikuwa anauogesha na kumpisha mswaki ndio maana baada ya housegirl kuondoka akauona uchafu wa mkewe. Maana kama ni vyombo na kudeki wangesaidiana ukizingatia kuna mtoto wa miezi 3. Mmeishi zaidi ya mwaka hujaweza kumuinfluence mkeo kuongeza usafi unategemea kipigo kitambadilisha?
Huyo rafiki yako angeamka mapema wakati mkewe anahangaika na mtoto akasafisha nyumba ingekuwaje? Di inahitaji mikono 2 na miguu 2 kufanya usafi? Sioni sex organ ikitumika hapo. Halafu angekuwa anamualika mkewe kuoga pamoja haoni kama angembadilisha. Kuna njia zaidi ya moja kutatua tatizo, kupiga...
Kuwa mzalendo for once, kesho kukiwa na uonevu wa serikali kwa wakazi wa Hai watetee hivi hivi kama unavyowatetea kina chonka bojo. Maana nyie ni kati ya watu mnaojitoaga ufahamu kuitetea serikali tulivu.
Ya shangazi yake kijijini ambaye anakufa kwa kukosa matibabu kwakuwa pesa za walipa kodi zinatumika kulipia uendeshaji wa kesi kama hizo na sio kununua dawa na gloves hospitalini
Kuvunjika kwa UKAWA ndicho NINYIEMU mnataka. Mfano mzuri ni Segerea, hufikiri umoja umesaidia kupata wabunge wengi (CDM na CUF) kuliko kama kila chama kingeweka mgombea ref Segerea. Sasa huyo propesa sio pro ukawa na anatumiwa tu ili kuvunja UKAWA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.