Heri ya Mwaka Mpya 2019!
Kwanza natoa pole kwa madalali mliodhulumiwa pesa zenu na wateja. Pia natoa pongezi za dhati kwa madalali wanaofanya kazi zao vizuri na kwa uaminifu. Kuna usemi usemao “Samaki mmoja akioza, wote watakua wameoza” kwa kutumia usemi huu, mimi napingana nao kidogo...
THE MECHANICS OF REAL ESTATE INVESTMENT: INVESTMENT STYLES USED BY REAL ESTATE INVESTORS IN DAR ES SALAAM (Guide to investing in Real Estate, Commercial, Residential and Commercial Cum Residential Properties every Investor should know!)
Real Estate Investors might have fallen in one or two...
REAL ESTATE AGENT (WAKALA WA MAJENGO)
Wakala wa Majengo (Estate Agent), hawa ni wataalamu wa soko la nyumba ambao ni muhimu katika kukutafutia nyumba ya stahili yako na ndani ya bajeti yako.
Aina za Wakala wa Majengo
1. Wakala wanataaluma
Wapo wale ambao taaluma zao zimejikita katika...
First and foremost I would like to share with you some gist of Real Estate (A,B,C, Ds in Real Estate Issues).
Due to the deterioration in local economic conditions, such as unemployment because of layoffs, plant(s) and companies closings, market downturn and the alike may lead to an increase in...
Mvua ni baraka, mana huwanyeshea wazuri na waovu, Magufuli ni chaguo la Mungu! fuatilia vizuri alipotokea wakati wa kinyang'anyiro cha kugombea Urais...
Meet Real Estate professionals to cater for all of your Real Estate and Facilities needs.
George Kalussanga (Real Estate Investment Appraiser)....Terranova Real Estate Management, Appraisal and Agency Company limited. Terranova - Real Estate Consultancy, Cell: 0719686645.
Kwa mtazamo wangu!.
Watanzania inabidi tubadilike, tuache kulalamika lalamika, tuache uvivu, tuchape kazi kwa pamoja tujenge nchi yetu, tuige mifano mizuri ya Malaysia, China, Phillipines, korea, Singapore nk. nchi ambazo miaka ya 1960's tulikuwa karibu sawa katika hatua za kimaendeleo...
Dah! kiukweli, kibongobongo "Mwenye pesa Mpishe" huwezi pambana na mtu mwenye pesa, pesa ni mali ya ibilisi, na mipango ya ibilisi ni kuvuruga na kupindua mambo mazuri ambayo mwenyezi Mungu alituandalia sisi wanadamu.Hvyo sioni ajabu, pesa ikatumika kupindua sheria tulizojiwekea cc wenyewe. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.