Search results

  1. Halfcaste

    Mbunge atakayeingia Kamati ya kuichunguza TISS atakuwa amejiteka mwenyewe

    usalama wa kumteka Roma unahitaji shule
  2. Halfcaste

    Gado on Magufuli - A Bull in a China shop?

    Mh is destructing everything, cartoon talks much
  3. Halfcaste

    Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Hakuna msukuma anayeitwa Diallo, eti Dr. Diallo ?! Mwizi wa vyeti kama Daudi Bashite
  4. Halfcaste

    Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Diallo siyo jina la Wasukuma ni West Africans, Diallo Mwizi wa vyeti.
  5. Halfcaste

    Nape Nnauye: Nitajiuzulu endapo itabainika nina mahusiano ya kimapenzi na Wema

    Nape is a ripen politician as well as humanitarian
  6. Halfcaste

    Katika shule bora 100, shule za seriakli ni 7 tu

    Unamkata mfanyakazi 15% ya mkopo huku akiwa na mshahara wa Ths. 350,000.00 baada ya mikopo benki anabaki na Tshs. 200,000.00 .Unatarajia akufundishie Watanzania walalahoi ,mmmmmh serikali itasubiri sana.
  7. Halfcaste

    Ndugu yangu ana minyoo ambayo haiponi tusaidie

    Ndugu yangu ana minyoo ya Trichiura (Roundworms), anawashwa mkunduni anajikuna sana. Amepoteza weight. Ametumia kila aina ya dawa zisizokuwa na idadi kutoka kila nchi no relief. Madaktari wa Tanzania hawana msaada kwake. Ni zaidi ya mwaka sasa .Za mitishamba ndo kabisaa. Je, afanyeje msaada...
  8. Halfcaste

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Biinzi ni makamasi. Kama kweli kichwa changu kina makamasi naomba ukosoe kisomi kwa faida ya wenzetu. Watusi wanatokea wapi kihistoria? wewe utakuwa Mhaya punguani asiyujua chochote kazi kuvaa miwani na kufunga suruali tumboni while having nothing on your upstair and on your pocket.
  9. Halfcaste

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Bwana Kenge nimekuelewa. Maana ndugu zake wapo serikalini hapa kwetu nimesoma nao.
  10. Halfcaste

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Am sorry kweli nimepotoka
  11. Halfcaste

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Sura siyo ya Kinyarwanda ni ya Ki "Tutsi" maana watutsi wapo East, Central and Nothern Africa. Wanaitwa ''Nilo Himites" someni historia Watanzania mnatia kinyaa. Watutsi wamejaa Bukoba, Uganda, Rwanda ,Burundi na Kongo.
  12. Halfcaste

    Heshima ya Jina la Noti za Tanzania kurejea tena vinywani mwa-wanaNzengo wa Tanzania...!

    Mbona jero ina charter ya "Lords of Hermes" wa Kigiriki? Nyoka na fimbo
  13. Halfcaste

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Wewe ukija Bukoba utachanganikiwa kila ukimuona Mtutsi utasema ni Mnyarwandwa. Siyo kweli. Watutsi wana majina kutegemea ulipo mkuta.Uganda wanaitwa Balalo au Nyankore, Bukoba tunaita Balalo au Walangila , Kongo tunita Banyamulenge, Rwanda na Burundi wanaitwa Watutsi.
  14. Halfcaste

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Kamachumu Ndolage hospital ndugu zake wanaishi hapo wengine wanishi Kyaka. Mwingine dada ake anafanya kazi serikalini kama afisa Maendeleo ya jamii Mkoani Tabora
  15. Halfcaste

    Prof. Lipumba: Uhaba wa sukari umesababishwa na Rais Magufuli

    Prof. leo umeongea japo acha ukinyonga. JPM ni tatizo aache mihemuko na misifa isiyo na tija. Vipi ubomoaji bado unaendelea?
  16. Halfcaste

    Rais Magufuli lengo lake ni jema kuhusu Sukari, lakini akatumia approach isiyo sahihi

    Kachemka ndilo neno sahihi. Ajaribu kudandangya wajinga lakini kakosea sana tu kwani hapo awali hutukuwa na shida na sukari. Tulizoea bei yetu ya 2,000, 2,200 na 1,900/= mpaka 1,850/=. JPM ndiye alotengeneza tatizo.
Back
Top Bottom