Search results

  1. msomi_wa_zamani

    why do we celebrate Christmas on December the 25th ?

    Christmas Day[is a holiday observed generally on December 25th to commemorate the birth of Jesus, the central figure of Christianity.The date is not known to be the actual birthday of Jesus, and may have initially been chosen to correspond with either the day exactly nine months after some...
  2. msomi_wa_zamani

    Watoto wa karne ya 21

    Ni kweli haya ni maisha bora kwa kila mtanzania, Ila hii ni hali ya vijijini kwetu
  3. msomi_wa_zamani

    Watoto wa karne ya 21

    hawa ni watoto wa Mkulima na mfugaji ndani ya karne 21
  4. msomi_wa_zamani

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    Pole sana mdau, Hiyo ni trela, Je ikiwa vita na nchi nzima kama ngogo la mboto hali itakuwaje ?
  5. msomi_wa_zamani

    Dr. Isaack Ndodi: Hisia mchanganyiko

    NILIWAI KUMPELEKA DADA YANGU KWA DR.Ndondi ikiwa mwanza.alikuwa na matatizo ya kivimba miguu,na presha ya kushuka ALITUAMBIA Ugonjwa huu unaweza kupona kwa wiki 4 kila wiki natakiwa nilipe laki 3.Tulitoa laki 3 za wiki ya kwanza tukapewa dawa. HATUKURUDI TENA.LAKI 3 ZIMEKWENDA ,DAWA DOZI YAKE...
  6. msomi_wa_zamani

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    SLOGANI YA "MAPINDUZI DAIMA INAAMANISHA NINI" ? UKIFUATILIA KILICHOTOKEA KATIKA MAPINDUZI YA ZANZIBAR,DAMU ILIVYOMWANGWA,HALAFU UNAMSIKIA RAIS WA ZANZIBAR ANASEMA MAPINDUZI DAIMA,SIPATI PICHA. WAKATI UMEFIKA SHEREHE ZA KIPUUZI KAMA HIZI ZIFUTWE JAMANI HEE.!! ZINAAIBISHA TAIFA. MWANA JF ANGALIA...
  7. msomi_wa_zamani

    How to install huawei modem on linux ?

    After my window Xp machine being attached by malware and virus.I decided to install Ubuntu on my machine,I have read that malware developers specifically target Windows operating systems and Windows based applications. Hence, the Linux users do not have to worry about spyware or malware (dll...
  8. msomi_wa_zamani

    Desemba 25: Je, ni siku aliyozaliwa Yesu au twaadhimisha tu kumbukumbu?

    Christmas Day[is a holiday observed generally on December 25th to commemorate the birth of Jesus, the central figure of Christianity.The date is not known to be the actual birthday of Jesus, and may have initially been chosen to correspond with either the day exactly nine months after some...
  9. msomi_wa_zamani

    Wikileaks founder julian assange lived in tanzania ?

    Nilipokuwa nikipitia Bibloigraphy ya founder wa wikileak nulikuta maelezo ,wikileak founder Julian Assange has lived for periods in Australia, Kenya and Tanzania, links Julian Assange - Wikipedia, the free encyclopedia WORLD OF CRISIS: Julian Assange Biography Julian Assange | Julian Assange...
  10. msomi_wa_zamani

    Waswahili tunatawaliwa na waarabu ?

    Kuna vyombo vingi kama (TUKI,BAKITA,BAKIZA,CHAKITA,BAKAMA) vinavyo husika na maendeleo ya kiswahili .visikae na kupunguza baadhi ya maneno ya lugha nyingine kwenye lugha yetu.kama tulivyo fanikiwa kupata msamiati ya baadhi ya maneno kama Television ,computer,Information Technology,Internet n.k...
  11. msomi_wa_zamani

    PhD za heshima

    Universities in two East African countries, Kenya and Tanzania, have come under fire for prolifically awarding honorary degrees - in some cases allegedly for money and in others in return for influence. The Tanzania Commission for Universities (TCU) - the agency charged with regulating...
  12. msomi_wa_zamani

    Engineers wa St. Joseph College na GPA kubwa kubwa

    Sijakuelewa JITUORIGINAL. Huyo member amesomea BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER ENGINEERING, inakuwaje unamuhusisha na ujenzi wa Maghorofa..
  13. msomi_wa_zamani

    Hamjambo wana jf:wazee nao tupo

    Cv: Jina msomi wazama umri:nimezaliwa 1942,tabora 1960-1962:cheti cha kilimo nyegezi mwanza 1957-1960:middle school sikonge tabora 1953-1957:elimu ya msingi uzoefu wa kazi/uongoza 2005 hadi leo:mkulima wa fegi,mshauri binafsi kilimo ,msikiliza redio ,mhudhuria misiba na harusi...
Back
Top Bottom