Search results

  1. ibesa mau

    Tunasubiri Tamko la chadema ,kuhusu Mambo haya mawili

    Kama wanaungana na zitto basi watuambie wanachama tukampokee kwa kishindo .maana nchi hii imebaki na mashujaa wawili tu, Zitto na Pompeo. Pompea amekuwa kama mtanzania mwenzetu
  2. ibesa mau

    Tunasubiri Tamko la chadema ,kuhusu Mambo haya mawili

    Chadema kama chama kikuu cha upinzani hakijatoa tamko kuhusu issue mbili za WB kukata kuwakopesha serikali Dora 500M na issue ya pili ni hii iliyotokea juzi ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kutajwa na FBI ameshiriki kutika vitendo vya kunyima watu haki ya kuishi Marekani wamesema wanao...
  3. ibesa mau

    Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

    Hatuwezi geuza mgogoro wa MaKonda na Marekani kuwa mgogoro wa kitaifa. Yeye makonda aumalize yeye mwenyewe
  4. ibesa mau

    Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

    Wampe ubalozi wa huko huko marekani kwa Pompeo wakamalizane naye
  5. ibesa mau

    Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Ama kweli maisha yamekuwa magumu , wachaga nao wameingiwa na roho za kutaka utajiri pasipo Fanya kazi?
  6. ibesa mau

    Nini maana ya Makonda ‘kuwanyima watu haki ya kuishi’ kunakosemwa na serikali ya Marekani?

    Ukiona hivyo na yeye alikuwa anawanyima hali ya kuishi wananchi wake
  7. ibesa mau

    Tunajiita matajiri wananchi zaidi ya 10,000 Kilwa wanaishi kama wakimbizi kisa mafuriko. Utajiri wetu uko wapi kama hawa tu mnaomba misaada?

    Madawa hamna upatikanaji wa madawa kwenye vituo vyetu vya kutolea huduma za Afya hali ni mbaya, hata panadol tu kupata ni shiida
  8. ibesa mau

    Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

    Unafikiri nani ananufaika zaidi na mahusiano ya USA na Tanzania? Marekani wanamashirika yao makubwa ya Afya yanasaidia Tanzania ,UsAida na mengine mengi. Hawa wenzetu watajivunia kwenda kutibiwa India lakini hata India natamani watuwekee ban ili wote tufie hapa hapa Bongo
  9. ibesa mau

    Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

    Uwezo wa kufikiri wa Kabudi upo chini sana,sijui hata huo uprofesa aliupataje
  10. ibesa mau

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Makonda hata akiitwa na Pompeo hawezi kwenda, ni sawa na Shetani kuitwa na Mungu
  11. ibesa mau

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Marekani hamshindi mtu, Muulize Rais wa Nicaragua kilichomkuta kubishana na marekani
  12. ibesa mau

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Tanzania si kama kuzimu tu, ni sawa na kumpiga ban mtu wa Mungu
  13. ibesa mau

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Huu utawala umeua mengi sana, watu wengi wamepotea kwa visa tu .
  14. ibesa mau

    Rais Magufuli badilika, US imekulenga wewe sio Makonda

    Kama vipi wamchukue tu waende naye hata sisi mwenyewe tumemxhoka huyu d
  15. ibesa mau

    Shame on United States of America

    Kumbe mnjuana na kagame wenu, mkakate rufaa the Hague,
  16. ibesa mau

    Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Mkuu hii bongo bila connection huwezi pata habari. Kuna watu hata habari za akina Mwijaku hawajapata hadi Leo kwa kukosa connextion
  17. ibesa mau

    Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Na yeye ban yake itakuja pamoja na ndugai, mambosasa , Jaffor ,n.k soon tutasikia. Kesho ni nzuri kuliko jana
  18. ibesa mau

    Bunge la Senate lapongeza zuio la Paul Makonda kuingia Marekani. Lasema huo ni mwanzo wa kuwawajibisha walioua demokrasia ya Tanzania

    Yaani wewe ni mjinga na kama ameenda shule basi elimu haijakusaidia. Ukiona wapi tajiri anamwogopa maskini. Mabeberu wamwogope Magu hizo story za abunuasi
Back
Top Bottom