Search results

  1. S

    #COVID19 Tunakubalije Watanzania wote maisha yetu yashikiliwe na mtu mmoja?

    Hatutakimbilia chanjo ya corona bila kujiridhisha kama tulivyojiridhisha na dawa ya Madagascar.
  2. S

    Nalililia kaburi la Kiyeyeu

    Kama kaburi hili la Kiyeyeu lingekuwa na jambo muhimu la kistoria,-hata mimi ningependelea libaki, lakini umaarufu wa kaburi hili ni mambo ya ushrikina au kwa lugha nyingine uchawi.-Hapa naoan tutakuwa tunarudi nyuma sana kimawazo na fikira. Mimi kaburi ambalo linanisikitsha sana ni kaburi la...
  3. S

    Spika wa bunge akiri uwezo wa CHADEMA

    Hii inasikitisha sana na inauma sana,-Watanzania sijui ni wapi tunakwenda?
  4. S

    Fashion Fail!

    Picha ya pili nimeikubali sanaaa!!!,-nategmea sana siku sionyingi Dada zangu wa Kibongo wataiga tuu!!! kwa kuwa ni mabingwa wa kufanya hivyo
  5. S

    Mungu anaweza kufanya chocho katika dunia hii

    Ukweli utabaki kuwa kweli,-Mtu ambaye anaamini kuna Mungu, tutakubaliana kila la kheri na la shari, kama hili ghalika la Japani kuwa yote ni mipango ya Mungu. Tatizo linakuja pale kwa wale ambao hawana imani na Mungu, ukiwauliza wanakwambia ni "Nature". Sasa Nature ni kitu gani na maana yake ni...
  6. S

    Hizi kweli zinaweza kuwa kuwa dalili za mke msaliti katika ndoa?

    1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume) 2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui 3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki 4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za...
Back
Top Bottom