Search results

  1. O

    Ulaghai wa Chuo Kikuu cha Kampala International University (KIU) cha Dar es salaam

    KIU jibu lake ni rahisi sana JOHN POMBE MAGUFULI! !!!! KIU inatapeli watanzania!.
  2. O

    TCU waweka round ya nne!

    Hii Kweli ndo bongo!! kuna uwezekano wa kuwepo round ya 5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,16,17,28,19,20,21...........................10000 !!
  3. O

    Bagamoyo university kuna nini mbona ada kubwa sana?

    Vyuo kama hivi vinatakiwa vifungiwe kabisa!!!!! Vinatapeli watanzania!!!
  4. O

    Jinsi ya kuhama chuo ulichochaguliwa kama hukipendi

    Haya Mambo ya transfer yanaumiza kichwa sana!!!
  5. O

    Utaratibu Wa Ku -Transfer Upoje

    Mwaka huu Kuna mtiti wa hatari! !!!!!
  6. O

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Big result now ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
  7. O

    Kumekucha bodi ya mikopo

    Ww Kweli ni mgonjwa!!! watu kama hawa wa kuvumisha uongo wanatakiwa wakamatwe wapelekwe Segerea ili liwe fundisho kwa Wengine!!
  8. O

    Waiting for aproval

    Ukiandikiwa waiting for approval ndo umeisha chaguliwa Ww jiandae kuripoti tu. All the best guys!
  9. O

    Mkopo kwa first year 2015/2016

    Kuna watu wanapenda "cheap popularity " mfano mzr ni huyu alieanzisha huu Uzi . Badilika!!!!!
  10. O

    Wale wa UDOM

    Nimechaguliwa UDOM , nauliza Vp mtu anarusiwa kuhama kutoka kozi ambayo ina mkopo kwenda kozi ambayo haina mkopo hapo hapo Udom ?? Mwenye uelewa wa hili swala anisaidie. Tukutane UDOM tupige msuli.
  11. O

    Wadau wa Kampala University tukutane hapa

    KIU ni majanga kila mwaka!!! nasikitika kusikia kwamba kuna watu tena wameapply kusoma KIU!!!! nawashauri mfanye transfer mapema ili msije mkajutia katikati ya safari!!!
  12. O

    Nina mashaka na mfumo wa elimu ya tanzania

    Tupeleke bungeni watu ambao wamesoma ili waweze kulikomboa taifa hili. Mitaala yenyewe haieleweki Ni ipi sahihi au Sio sahihi!!!!! Inasikitisha sn.
  13. O

    Karibuni tuendelee kujuzana vyuo ambavyo tayari vimeshaachia majina, hapa ni list ya baadhi ya vyuo

    Humu mjengoni mbona uongo mwigi sn!! . mtu ukisema selections tayari jitahidi kutoa evidence.
  14. O

    Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu hizi courses

    Bed ECE ajira yake utafundisha kwenye vyuo vya ualimu wa shule Za msingi. Ajira uhakika. hiyo ya pili sina ufahamu.
  15. O

    Vp wadau kuhusu kubadilisha course ndani ya chuo ulichochaguliwa

    Wakuu mfano umechaguliwa bachelor of education With arts ambayo ina mkopo Udom unataka kutransfer kwenda bachelor of education with administration hapo hapo Udom ambayo haina mkopo, Vp hapo inakuaje?? naomba kuwasilisha.
  16. O

    Bodi ya mikopo wekeni wazi idadi ya watakaokosa mikopo ya elimu ya juu mwaka huu.

    Ishu ya kupata au kukosa mkopo inategemea vitu vingi.. omba Mungu tu.
  17. O

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Wana jf, hongera sn Kwa kuendelea kuhabarishana. Mm swali Lang ni hiv hizo tarifa Za kwamba selection tayari mmezipata wap? nitumie link plz.
Back
Top Bottom