Search results

  1. mwananyanda

    Waliosona shule kongwe Ndanda boys high school jitokeze apa

    WEWE TUTAKUWA TULIKUWA WOTE, PALE CHEPO ILIKUWA BALAA, YAMISEO A.K.A BOB MARLEY
  2. mwananyanda

    Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    FRANC THE GREAT, mimi napenda NSYUKA
  3. mwananyanda

    Je, ni njia gani inatumika kusafisha tumbo?

    mkuu ni PM namna ya kukipata
  4. mwananyanda

    Andika jina lako kwa kijapani

    DAURDO BASHIRITE MAGUSHURI CHAATO
  5. mwananyanda

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    mimi ni mhitimu wa shaada ya kwanza katika fani ya biashara, tafadhali kwa ambaye anajua namna ya kupata fully funded scholarship kutoka nchi za scandinavia naomba msaada huo.
  6. mwananyanda

    Jukwaa la Katiba (JUKATA) kufanya maandamano nchi nzima kushinikiza kurejeshwa mchakato wa katiba mpya

    hawa tutapiga mabomu hadi watafarakana, sisi hatujaribiwi ujinga huu
  7. mwananyanda

    Mbunge Musukuma, vita yako na RPC Geita inakudhalilisha; bora unyamaze!!

    nijuavyo mimi polisi ni katawi kadogo ka hicho chama cha musukuma, kamati ya siasa ya mkoa ikae imuondoe huyu RPC then awekwe mwinginie, mbwa ameanza kumla bwana wake.
  8. mwananyanda

    Wawekezaji wote wa Barick/ ACACIA kuondoka rasmi Tanzania mwezi februari 2018?

    Uliza kabla ya kuandika Barick hawamiliki GGM, hiyo ni mali ya Anglo Ashanti Gold mines nenda kajifunze uje upya.
  9. mwananyanda

    Ushauri: Paul Makonda magari yako yaandikwe "Polisi" sio " police"

    nani kakwambia ukarabati na sheria ya manunuzi haviingiliani kama hujua kaa kimya wewe
  10. mwananyanda

    Penzi la Zari na Diamond lipo ICU

    mimi hapa sijawahi kucheat
  11. mwananyanda

    Yusuf Manji, siasa za Tanzania, utawala na utajiri wa Quality Group

    asante mnyanyembe wa Mboka manyema, wenye akili wataelewa ila si hawa nzi wa kijani
  12. mwananyanda

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    kuwaomba radhi wasiojulikana ni kuukaribia mdomo wa simba
Back
Top Bottom