Mkaribishe kwa kumpa yule mke wa rafiki yako aanze nae, aingie Town kwa kuchakachua wa mjini bOnge la shule hilo au Mjomba umeshamaliza ile ngoma tayari?
Mkuu Washawasha sasa jina lako mbona unalishushia hadhi? Washa washa tu mkuu kama msela akija juu mwambie mbona kila mtu kala mzee? au mie unaona nafaidi zaidi? Demu wako malaya na unajua,ni jamvi la wageni na wenyeji na mimi ni mwenyeji....Maliza kaka halafu njoo tupe how she is kunako mechi za...
Mie ni mfupi ila vigezo vingine ninavyo, nina urefu wa 120 vipi application nitakubaliwa?Kipato je? Kama mabinti unawahitaji pia maana sina kazi by the way, ila kupenda najua and I mean it...kabila ni Msukuma kama CV unataka na experience nitakutumia...
Mkuu zitto ushujaa upo ila tu watz bado tunalindana, we ngoja tu utaona moto wake siku si nyingi, Kina ngosha wameanza, wapole watanashati lkn moto wake si kitoto....CDM juuuu
Mbona dental formular ndo mi naona, tunamsifia kwa Ushungi au? maana hatuoni kisogo chake kikoje huenda bichwa nunge, au ni Kitembo...sie mambo ya Vipotable bwana sio matebwele, acheni kusifia mbuzi kwa gunia na maushungi take, mie nasisimuliwa na nywele za usogoni bwana
Pili usioila wewe inakuwashiani? Mdada karidhika tena na kajisikia raha wewe mwangaliaji unaanza kuchonga, Mtz utamjua tu kwa kujifanya mwenye heshima...Wewe ungefanyaje kama ni dada yako? Kumpiga Kanye hata kusogea huwezi tena wewe ungefurahi ile mbaya na hata ungeweka kwenye Screen...
WanaJF mie ninawapa home work kidogo tu, Huyu Dogo makamba si bure, ile barua yake kwa Ngeleja kaeni mkijua is a set up kwa Mdanganyika, kwanza aliomba mitambo iwashwe ilhari kesi iko mahakamani, pili hilooooooooooo limiliki la Dowans eti limejitokeza, Akili mkichwa Great Thinkers......mie yangu...
Hivi Haya Mambo ya Kina Balali kutowekwa habari zao watanzania lini tutakomalia?Eti jamaa hataki kupigwa picha wala TV hataki waonyeshe alivyo maana kila kitu kitakuwa openeed, ****** yao yataanikwa kina Kikwete na familia yake, Uongo mweupe, Sitaamini na sitaki kuamini kama Balali alikufaga...
Mkwere anajua kabisa Matanganyika ni maoga ya Mabomu ngoja wamlete General Kabisa ili mkae kimya maana mkisema jamaa wanaleta Makombora....hahaha Bongo tu waoga wanatutishia Mwanajeshi duh...Mkwere kweli hamnazo....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.