Search results

  1. BABY ASHA

    Colour of Wedding

    kweli kabisha dada hata mimi sifagilii hayo mambo kabisha yananiudhi me mungu akkinijaalia sitaki hayo mambo nataka utamaduni wangu
  2. BABY ASHA

    Nimuandalie zawadi gani valentine hii?

    Ndungu yangu nakushauri hivi mungu akijalia ikifika hiyo siku yenyewe maana bado siku kama 4 hivi ni parefu hapo kama ni waislam mwambie mkeo msali sali ya kumshukuru mungu since mnafikisha miaka kumi na tano na mfunge siku hiyo kama ni waskristo pia nendeni kasinisani kisha baaday ya hapo...
  3. BABY ASHA

    Hivi Ubikira Unakoma Wakati Gani?

    hii picha nimeipenda
  4. BABY ASHA

    Mpenzi wako anakutumia sms hii...! Utamjibuje...!

    Eebwana huyo mtihani waweza tangulia kwa presha
  5. BABY ASHA

    Nahisi Haus gel wangu ananitega

    du kaka jaribu kumshida shetani usimsariti mkeo labda mgonjwa huyo beki tatu
  6. BABY ASHA

    Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

    Pole sana ndugu yangu hayo ni matatizo si wewe pekee wengi wanalamika na hiyo kitu ila inategemea kwanza kaa chini na mwenzio mliongelee hilo swala ni muhimu huwezi jua labda ana stress za kazi au unashidwa kumpa maufundi maana maufundi mengine hata kama hataki atarudia tu cha muhimu kaa naye...
  7. BABY ASHA

    Habari zenu wakuu!

    Habari zenu wana jf leo uzalendo umenishinda nami nimeona nijiunge nanyi.....hope mtanipokea asalaaaam aleykum
Back
Top Bottom