Search results

  1. M

    Hodi

    Nawasalimu katika JINA lipitalo majina yote!! Kwa heshima na taadhima... nasema Inshallah tuwe pamoja katika kuendesha gurudumu hili la JF.
  2. M

    Epuka makosa haya

    Mchakachuaje... au wifi yetu hawezi kukuanza.. navyojua mie, wanawake nasi tuna haki, hamu kama wanaume ya kuwaanza wenza wetu. Tena madaktari wa Mapenzi wamedhibitisha ya kwamba katika sex, Mwanamke ndo anasikia raha kuliko Mwanaume. Chukua hiyo
  3. M

    Kama ukitongoza mwanamke kumbe ana mtoto!?

    Swali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige...
Back
Top Bottom