kama jogoo awezi kuwika lisaa lizima we jiandae na viagra ili akome ubishi na kusema wanaume wanawahi kuingiza ili wawe wa kwanza kuanza kulia uwiiiiiiiiiiiiiii
Sasa unababaika nini...wanawake wamejaaa everywhere tena wanaombea!! such love never exists miaka hii bro. Take your time, be composed, think again about your future family life and make sure you now get match group and not group match
Huyu mtu atakuwa ana tabia za wiziwizi enje ya ndoa. kwa nini aache simu officin hata kama ni ya ofici na ni ya kiganjani anatakiwa kuwa nayo through out hadi atakapoachishwa kazi ndo anarudisha...wewe mumeye be careful-wizi mtupu!!
Haiwezekani wanasiasa tu kwa sababu wanatetea haki ya wote kuwekwa lupango and this source is apparently true. Moshi arusha na tanzania kwa ujumla amkeni kwani sasa hivi we know our rights and democracy is getting spread all over. Mbowe, Selasini na Lema piganieni haki za wote na sio haki za...
Kulaa leki mtu wangu hapo pagumu kwani ni kweli ulimbanjua lakini we unaona kama ndoto kwani alikujia kijini jini!!! Aisee meku nenda kwa kakobe akakuombee au hama huo mtaa kwani ameshakupenda na kamchezo kameanza.
Haya saa, tutauangalia wengine wapenzi wa upinzani...ama kweli tunasumbiri mabadiliko bungeni kutoka kambi ya upinzani na sio malumbano. Vyama pinzani vinatakiwa viwe na umoja against ruling party.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.