hivi kwa akili yako, hata kama wakristo tungeungana na wakoloni, unafikiri hadi leo hii tungekuwa chini ya mkoloni? tena bora hata tungekaapo kidogo chini ya mzungu kuliko kumpa mswahili nchi. ona wenzetu south.
kuna siku Mungu ataingilia kati na adui zetu wataumizwa maumivu yote tuliyoyapata. siku hiyo ipo karibu sana. nimeprove wasukuma sio watu wa kuwapa cheo kikubwa.
wazazi wakiachana, wao ndio wanajua siri za chumbani kwao kwanini wameachana. hivi kwa tabia ya mama diamond anayoonyesha kama ile, Diamond ashukuru Mungu huyo mzee alivumilia hata akazaa naye mtoto na akamlea wakiishi na huyo bibi hadi yeye alipokuwa form one. kama uzeeni anaonyesha tabia kama...
angalia CV yake humo ukurasa wa 63 uone kama anastahili hata kuwa mtumishi wa nafasi hiyo.
https://archive.au.int/collect/oaucounc/import/English/EX%20CL%20534%20(XV)%20_E.PDF
walitangaza tenda, wakajitokeza watu wengi, lakini hao wameshinda. hivyo hawajengi kwa msaada au kwa makubaliano juu ya ziwa victoria waters, isipokuwa nafikiri kama serikali ilivyofanya kwa SGR construction kuweka wanajeshi, serikali inapasa iweke wanajeshi na wataalamu wetu waungane kwenye...
Wanaume wa darisalamu mna shida sana.kwahiyo unataka mwanamke akulipie kwani na yeye ana penisi? Uanaume wako uko wapi sasa unalalamikabumetiwa hasara alufu kumi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.