Search results

  1. W

    Balozi urusi anusurika kuangukiwa na ukuta wa nyumba .

    upotoshaji mkubwa huu wa jamii...msimsingizie mzee wa watu kuwa kajichotoea pesa wakati yeye kapelekwa urusi hizo pesa zishapotea, wakati mwengine mukiandika vitu lazima muwe muna uhakika navyo.
  2. W

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Wote wawili wana cv za kujitosheleza kuwa manaibu waziri wa Fedha...Saada Mkuya Salum alikuwa Commissioner for External Finance Zanzibar na Janet Mbene has a Master's degree in economics from the University of New England in Australia, na Cv yake nzuri tu so we hope gud things from them
  3. W

    Zanzibar: Rais atia saini miswaada mitatu - Spika

    wewe yanayokufaa ni mambo ya Tanganyika tu ambayo haipo hahahaha imekula kwako
  4. W

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Mukisema kuwa jamaa hana vigezo kuwa waziri....mimi naomba cv ya mr 2 aka sugu waziri kivuli wa chadema tupate kulinganisha, musiongee pumba, zungumzeni fact, tusijiangalie watu wanaotoka dar angalia general elimu aliyokuwa nayo mbona inatosha sana kuwa kiongozi kwa tanzania
  5. W

    Zanzibar is number one duniani as most corrupt inatia kichefuchefu...

    Tanzania ni Muungano wa nchi mbili zilizohuru nazo ni Tanganyika na Zanzibar
  6. W

    CUF yataka serikali tatu

    watanganyika mukiwa hamutaki muungano wazanzibar ndio watafurahi zaidi kwasababu asilimia kubwa ukiwauliza hawautaki
  7. W

    Pengo aionya CCM: 'Usafi' wa Nyerere si wa chama!

    Nyerere hana usafi hata mmoja isipokuwa kuuwa viongozi waliokuwa against na yeye
  8. W

    Hongera zanzibar!!

    walichofanya kenya ndio mfano wa kuigwa? unajuwa kwamba mshahara wa makamo wa rais wa kenya ndio mshahara mkubwa kuliko wa kiongozi yoyote duniani? usiropokwe tu kwa chuki zako kwa kuwa huwapendi wazanzibari, inawekana wakaja kupiga hatua kuliko hata sisi huku wenye, rasilimali kibaooo ila zote...
  9. W

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Wewe una akili kuliko Nyerere si hawa wapumbavu wengine wanaandika Nyerere kasema hivi Nyerere kasema vile Kwani Nyerere ni nani hata akawa hakosei kuweni na akili za karne mpya musiwe wapumbavu wa kuburuzwa tu
  10. W

    Katiba sifuri ya CUF kuvunja Muungano na kuitambua Tanganyika

    @ YeshuaHaMelechaYeshuaHaMelechnzibar ifanywe mkoa wakati wana kila kitu chao, kama unaona ni kijisehemu kidogo tu mbona kuna nchi nyingi tu ni sehemu ndogo zaidi ya Zanzibar lkn ni nchi asizulumiwe mtu kama hatuwezi muungano turudi kule kule kwa zamani Zanzibar na Tanganyika kwasababu...
  11. W

    Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

    Katika maisha yangu nimekaa na wabongo sana na kufatilia habari za nyumbani nimeona nimeona muna matatizo ila tatizo lenu moja kubwa munapenda kuzungumza pita kiasi bila ya vitendo na kufikiria hilo jinchi lenu hata ashuke yesu basi haliendelei kwa kuzungumza upumbavu mara mbara,mara...
  12. W

    Jaji M.C. Othman Jaji Mkuu mpya wa Tanzania

    M.Mungu kasema katika kitabu chake tukufu "summun bukmun umyun fahum la yarjeoon" (they are deaf ,dumb & blind therefore they they do/will not return). so waislam musiawashangae hawa watu Qur-an haisemi uwongo
  13. W

    Hamadi Rashidi bado hajaridhika anendeleza mapambano na CDM

    Jile79 wajinga kama nyinyi muko wengi na hamutoendelea maisha na laana ya Mungu ikufikieni juu yenu
  14. W

    Je, Kikwete ni mdini?

    Kwa kweli Wakiristo linawauma sana ukiwambia hilo
  15. W

    Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani

    Naanza kufundisha watu kiswahili sasa katika wana JF mada "Sugu akabidhiwa ofisi isiyo na samani" katika kiswahili hakuna neno samani kuna neno linaitwa Thamani weka kiswahili sawa. Nawakilisha
  16. W

    Familia ya Zakia Meghji yampigania Facebook

    kuna fisadi kuliko Mkapa mbona hatajwi
  17. W

    1,000,000 >>>50MPs Zanzibar :40,000,000>>>>189MPs Bara

    Kwani Tanganyika ipo bado?
  18. W

    Kwanini kuwa na mawaziri toka Zanzibar wakati wao hawana hata mmoja toka bara?

    Cha kushangaza mtu hujita Mtanzania kumbe kama si Muungano wasingepata hilo jina la Tanzania wangebaki Watanganyika, watu wengine aikili zao sijui zina maji?????
  19. W

    Kwanini kuwa na mawaziri toka Zanzibar wakati wao hawana hata mmoja toka bara?

    Tanzania ni Muungano wa Serikali 2. 1) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 2)Serikali ya Tanganyika. Zanzibar ni nchi na ina mikoa 5. Nafikiri hamujuwi hilo musiwe watu wanaoleta chuki kati ya watanzania na watanzania ,au ndio wale tuliombiwa katika vitabu vya dini "wana masikio lakini...
Back
Top Bottom