Search results

  1. zoeca

    Hii ndiyo njia pekee inayoweza muokoa Mdude CHADEMA

    Kwa nn sasa ? Je waliomteka kipindi kile ndo hawa , au havihusiani !!!!!!! Sitaki kuamini,
  2. zoeca

    Tuliambiwa kuwa kufikia wiki ya pili hali itakuwa hatari hii nayo wiki ya pili inaisha hali iko kawaida kweli media ni kansa ikitumika vibaya

    Ule msemo wa "akili za kuambiwa changanya na zako " utumike tu sasa kama upo salama shukuru na endelea kujikinga . maana yakikuta ndo utajua maana. 😭😭😭
  3. zoeca

    Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

    Kwa kifupi mm nimeelewa , kua pamoja na maelekezo ya wataalam pia tutumie njia za asili.
  4. zoeca

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Ivi alikua kwenye list ya 19!!!!?:oops::oops::oops::oops:
  5. zoeca

    Jeshi la Polisi linamshikilia 'James Delicious' kwa amri ya Naibu Waziri Kigwangalla

    Mwenye video kura za maoni za rais, mkutano mkuu ccm, tumsikie makinda akiita aunt......
  6. zoeca

    Simpangii Rais ila Angellah Kairuki is Unfit, Coward, Liar,Phony, deceiver anahitaji kupumzika

    Tunaacha kujadili tatizo, tunamjadili Mtu, TUNATAKA, tuone vijana wanaajiriwa walimu wetu na wafanyakazi wanafurahia kazi zao kwa kupata, mshahara kulingana na kupanda kwa maisha, Ukimsema Kairuk ataletwa mwingine afu Tatizo linabaki, Tujadili matatizo na sio watu.
  7. zoeca

    Kumuelewa Kiongozi Ni Hekima.

    Tambua amepataje nafasi Hiyo, Linganisha na maamuzi ya nafasi alizowahi shika, Kuwa mkweli, acha mihemko utamuelewa. kuna series moja, "Designated Survivor " Penda sana hii kitu. TUACHE KUPIGA Kelele tumpe Kiongozi Mda na Yeye achambue bila kuonea upande.
  8. zoeca

    Saga la Makonda: My Take

    Kumbee ndio maana Bajeti haitekelezwi. Maskini Bunge linampangia Asiepangiwa.
  9. zoeca

    Rais Magufuli afufua ari ya wafanyakazi nchini

    mbona watu wanadai tena ni; 12% na wanaonyesha slip
  10. zoeca

    Tuwe wasema kweli

    Tuwe wasema kweli pia Tunaomba UKWELI uheshimiwe. Hii nchi tumeishi kwa upendo toka mwanzo, kama vyama vingi ni kelele masikioni mwa baadhi basi ipelekwe hoja vifutwe. swala LA kutotembeleana na kujenga uadui kisa tofouti ni itikadi ni vema kila Mtanzania atambue utu ni zaidi ya itikadi na...
  11. zoeca

    Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    kama una akili kwa sheria hii , utagundua Mambo mawili 1. walioitwa sio wakosaji ni watuhumiwa.no ushahidi 2.Makonda kuwaweka kina Wema ndani zaidi ya masaa 48 aliivinja sheria ,so haki yake hapo ni yeye akaijibu mahakama kwa nn amekiuka sheria .
Back
Top Bottom