Search results

  1. S

    Hivi pinda msanii ua ndio kweli

    Ona picha ya pinda hajavaa ata singland ndani baada ya kaunda suti tu du?
  2. S

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Watu 4 wamekufa,8 wamejeruhiwa baada ya lori lililokuwa linaenda Zambia kugonga Hiace huko Tanangozi nje ya Iringa.
  3. S

    Chikawe awakemea Mwakyembe na Sitta: Waache kuzungumzia DOWANS

    SAKATA la malipo ya kampuni ya kufua umeme ya Dowans, limeingia hatua mpya baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, Mathias Chikawe, kusema mawaziri wawili waliompinga Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja kutangaza serikali kuilipa kampuni hiyo, walikiuka utaratibu wa...
  4. S

    Tabia ya polisi kupiga raia katika maandamano ya amani ni kwa maslahi ya nani?

    Tatizo ni Riai kuuwawa bila ya sababu hii kusema akagombee uongozi Lukaza haipo sawa la msingi Chadema viongozi wake wote washtakiwe na waache kujishughulisha na siasa miaka yote ya uhai wao hawana nia njema kwa jaamii inaskitisha sana mpaka leo kuwa wapo njee viongozi wa chadema
  5. S

    Ukweli niiukubali tu kwa nini taifa ya zanzibar isiwe ndio taifa stars

    Hakuna shaka watanzania wote jana tulishuhudia kandanda safi na ya kujituma kwa ndugu zetu wa zanzibar ukweli kike kikosi kilitimia na kwa uchezaji wao wakiwapo na mashirikiano wakiwa uwanjani hakuna shaka kila mdau wa michezo atakuwa pamoja nami? watanzania tuwache tofauti zetu wakati tunataka...
  6. S

    Makatibu Wakuu Zanzibar

    Zanzibar Yateuwa Makatibu Wakuu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Watendaji Wakuu katika Ofisi na Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi, Dk...
  7. S

    Makatibu wakuu wa serikali ya mapinduzi hawa apa kila wizara katibu mkuu mh!!!

    Zanzibar Yateuwa Makatibu Wakuu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa Watendaji Wakuu katika Ofisi na Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi, Dk...
  8. S

    Nakuja na Baraza la mawaziri

    mh poa kijana karibu ila baraza la mawaziri halipo poa sana ni wizara 3 tu ndizo jamaa kaweka poa wizara ya mambo ya ndani Shamsi, Magufuli na labda Anatibaijuka ila huyu dada wacha nimuone zaidi.
  9. S

    Kwanini kuwa na mawaziri toka Zanzibar wakati wao hawana hata mmoja toka bara?

    hivi ww kaka hujuwi hata ulise malo kumbuka serikali iliyoundwa ni ya Jamuhuri ya Muungano si Serikali ya Tanganyika kwa hakika hao wanne kwa upande wa zanzibar pia kidogo ila tu wanzanibar hawana uchu wa madaraka kumbuka kuwa serikali ya Tanzania ni muunganiko wa nchi mbili na usifananishe...
  10. S

  11. S

    SmartGirly

    :target:Watanzania tuwacheni kasumba wakujifanya sisi ni wakamilifu tuache tabia hiyo:target: kosoa panapotokea kosa usikosoe kabla ya kutendeka kosa:A S clock: hakuna alozaliwa kuwa anajuwa na hakuna somo la kusomea Uwaziri wala Urais:target: Uongozi ni matendo mema:target:
Back
Top Bottom