Search results

  1. Jindal Singh

    Waziri wa Ulinzi wa UK: Kipindi cha mvuno wa amani kimeisha, nchi zijipange kwa vita zaidi

    Soma alama za nyakati. Sisemi ni lini ila dalili zinaonyesha hali ipo hivyo. America amepoteza ushawishi ki ulimwengu.
  2. Jindal Singh

    Waziri wa Ulinzi wa UK: Kipindi cha mvuno wa amani kimeisha, nchi zijipange kwa vita zaidi

    Historia inaonyesha ili super power izaliwe lazima pawepo na vita ya dunia na bwana mkubwa atakaekuwa imara kijeshi na ki uchumi wakati wa vita vikiendelea huyu ndie atakaekuwa kiongozi wa dunia. Hali inaonyesha kuna taifa linatakakuchomoza kuwa superpower. Marekani inajaribu kutunisha msuli ili...
  3. Jindal Singh

    Vizinga vinawapotezea wanawake potential husbands. Hela uliyoitafuta kwa jasho inauma sana

    Hasa wanawake wa mijini wameathirika na maisha ya kimitandao na kutamani maisha ya watu waliofanikiwa.
  4. Jindal Singh

    Kila nachowaza au kukiona ktk taswira lazima kitokee, je hali hii inatokana na nini?

    Shule walitufundisha kuwa historia ni somo la maisha ya nyuma ambalo pia umuhimu wake hutusaidia kutabiri maisha, ya mbele, ukiwa mzuri sana katika historia lazima uwe mbashiri mmoja mzuri sana. Ukiwa empty kichwani kamwe huwezi hisi chochote wala kuwa na hisia na wala huwezi ku predict...
  5. Jindal Singh

    KERO YA VIPAZA SAUTI MISIKITINI NA MAKANISANI

    Ni kweli kabisa ila kuna vitu vyengine ni UNTOUCHABLE. Ukichezea dini hakuna mtu atakaekupenda katika maisha hata wasio na dini pia watakuchukia (wengine wana maslahi nazo ya kidunia). Dini ni nature ya ulimwengu ambayo kamwe huwezi kuipitia kwa mbele na kuikinga, we tulia tu na uvumilie tu...
  6. Jindal Singh

    Haya Mapete makubwa yenye kito kinang'aa maana yake ni nini?

    Hakuna kingine ila ni hofu tu ya maisha tu!
  7. Jindal Singh

    Weka hapa maswali ya msingi ili waadishi wa habari kwenye Press ya leo wakamuulize IGP

    Kamwe hutanielewa, ile yeye akiulizwa lazima ataelewa tu!
  8. Jindal Singh

    Weka hapa maswali ya msingi ili waadishi wa habari kwenye Press ya leo wakamuulize IGP

    Naomba waandishi wa habari wamuulize kuwa "Umejipanga vipi siku utakayo kutana na Mwenyezi Mungu" mkijibiwa kwa ufasaha nitagini.
  9. Jindal Singh

    Ulishawahi kulishwa matango pori wakati unaumwa, tukutane hapa.

    Jamani kuna watu waongo kweli duniani, utakuta mtu anaumwa halafu anatoka mtu mwengine anakwambia eti Jaribu kuchemsha bunda la mpapai utapona. Kuna jamaa mmoja nilimkuta akichemsha majani ya nanasi kaambiwa kuwa ni dawa ya kibofu. Na wengine huambiwa kuwa ukichemsha mbao zile za 2×2 za...
  10. Jindal Singh

    Wanaotekwa na baadae kuonekana au kupatikana,huwa wanachukua zaidi ya masaa 24?

    Sina uzoefu na mambo ya kutekana ila nachofahamu mimi ni kuwa "KUNA BAADHI YA MATUKIO MENGINE YA KUTEKANA NI YA KINAFIKI"
  11. Jindal Singh

    Jinsi elimu yetu inatuandaa kuishi maisha ambayo kiukweli hayapo

    Nimekumbuka kuna mwaka nikiwa nafanya mtihani wa moko form 2 nilijibu swali la biology ulikuwa ni mchoro wa seli ya mmea. Sasa mm nilikuwa natumiaga vitabu vya biology vya kiingereza (yaani kitabu kimechapwa uk) sasa michoro yote ya biology nilikuwa situmii vya mitaala ya tz, ilipokuja kujaza...
  12. Jindal Singh

    Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

    Goli la Ronaldo never hit the bar ajib goli yake imegonga bar ya juu (angled) nakuvuka goal line hili bao bado ni best wakati wote. Goli hili litakuja kufifia labda pawepo na tukio lingine mfano World cup ichezwe Tanzania.
  13. Jindal Singh

    Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

    Mkuu hivi upo timu gani vile?
  14. Jindal Singh

    Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

    Ronaldo alipiga lakini halikugonga mtambaa panya, hili goli hakuna kabisa katika historia ya ligi kuu tz.
  15. Jindal Singh

    Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

    Kwani yanga haijawahi kucheza mikoani tangu dunia ianze?
  16. Jindal Singh

    Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

    Ajibu atamfanya kagere apige tik tak hata kama ni penati.
  17. Jindal Singh

    Goli la Ajibu unaweza kuchukulia mkopo bank yoyote ile duniani

    Simba mnasemaje? lile bao la ajib kamwe halitoweza kufungwa kwa msimu huu wa 18/19 na tayari Azam tv washaanza kulitia katika matangazo.
  18. Jindal Singh

    Ni nani mmiliki halali wa serikali?

    Katika hali ya kawaida, tunafahamu kuwa waumini wa dini ama Uislamu au ukristo na kama si uyahudi hawa watu huwa wana uchamungu wa dhati kabisa yaani kutoka moyoni mfano akitokea mtu anataka kuharibu alama ya dini yao husika basi watu huja juu na hata pia kuchukia kutoka moyoni na mara nyingi...
Back
Top Bottom