Search results

  1. NyaniMzee

    Napata maumivu ya kiuno

    halafu wewe ni JF Expert Member:rolleyes: kwa ushauri huo.
  2. NyaniMzee

    Serikali Mbona inamruhusu Makonda anazunguka na kuwaweka watu katika hatari ya kupata Corona?

    Huwa huna akili ya kuona huungwi mkono nyuzi zako siku zote?? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. NyaniMzee

    Pascal Mayalla ni moja wa waandishi wachache waliobaki Tanzania wanaozingatia weledi katika kazi

    Sikujua kama ukabila ni immune syndrome isiyofutika. Pascal nilikuwa namuamini sana lakini amelalia usukumani mpaka nimemshangaa. Nakumbuka wakati tuko Ilboru sec alikuwa ni kijana anajua kujenga hoja kwenye mijadala. Sasa amekuwa mpiga zumari wa hamelin. Shame on you !!!
  4. NyaniMzee

    Godbless Lema akipata ubunge Arusha nahama nchi

    Kiswahili hiki mmmmh Sent using Jamii Forums mobile app
  5. NyaniMzee

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Can't shy away from tribalism Pasco ! Ndio maana Nyerere hakuwapa vyeo! Nakumbuka Ilboru ulivyokuwa. You are what you have always been
  6. NyaniMzee

    Dr. Abbas: Siyo CAG tu anayebanwa na Katiba bali hata Rais wa JMT ana masharti yanayomuongoza katika utendaji wake

    We mbona unahangaika sana kila topic upo kibaya zaidi huna hoja ni kama wale wamama wa mkoleni!! Hali ya nchi ni tete we unapigia zumari wanaoiharibu. Kama nyie ndio vijana wa kutetea nchi basi we are in a deep shit!
  7. NyaniMzee

    Wagonjwa waendelea kumiminika Mloganzila

    Mleta mada usidhani wote humu ni watoto wa sekondari. Hio picha ni ya Deira Medical Diagnostic Centre. Ume edit ukatoa maandishi DMDC yaliyokuwa kwenye ukurasa wao wa facebook. mmezidi kusifu mpaka aibu yaani;
  8. NyaniMzee

    Rais Magufuli ni mzalendo namba moja Tanzania

    Kuandika kiswahili shida Mr praise and worship prefect
  9. NyaniMzee

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Nadhani baada ya muda picha yake itawekwa maana JF ni hazina kubwa
  10. NyaniMzee

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Nimefuatilia uzi unaozungumzia inayosemekana ajali aliyopata Mkuu fulani wa wasiojulikana nilichojifunza ni kuwa imekuwa nderemo na vifijo. Ni sawa na baba anayechapa watoto sana siku akiteleza akaanguka watoto wanacheka wakifunga midomo wanaenda kuchekea vyumbani mwao.
  11. NyaniMzee

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Na wewe na yule mbeba maboksi wa US mnajitahidi kuficha ukabila lakini ni wakabila sana
  12. NyaniMzee

    Ubunge Sio Dili Tena

    Nimrod Mkono alipata ubunge Kwa pesa zake ! Sio mwanasiasa yule ni lobbyist tu
  13. NyaniMzee

    Rais Magufuli anapenda sana kuvaa kijeshi. Asalimiana na Viongozi wa kikosi cha Wanajeshi 238

    Watu wa kanda wanashindwa wawe wapi! Kwenye reality au nepotism!
  14. NyaniMzee

    Paul Makonda awalazimisha Erasto Nyoni na Kevin Yondani kutotundika daluga

    Soka sasa imekuwa kama jeshi. Wachezaji Yondani na Nyoni wameambiwa ole wao wakiitwa kambi ya Taifa stars halafu wasiende! Kweli this is a police state! Wametaka kujiuzulu kuchezea Taifa stars halafu wanaambiwa na mwanasiasa ole wenu mkatakae kuja kambini! Pathetic
Back
Top Bottom