Search results

  1. A

    Lowassa: Siwezi kumjibu mtu aliyebwabwaja kuwa nakusanya watu kupata uungwaji mkono!

    EL,hana sifa ya kuongoza nchi, mwacheni apumzike, Nyerere alishamkataa, na subiri usikie kiboko yake Makongoro atakavyomwambia live bila chenga juu ya siasa zake, Makamba J hongera sana kwa kumueleza ukweli huyo mzee ingawa washirika wake wanasema umenyimwa uwaziri mkuu ndio maana unasema vibaja...
  2. A

    Nataka kupata watu wa kutengeneza nembo (LOGO) ya taasisi ya fedha haraka

    Asanteni kwa ushirikiano, nitawasiliana nao hao wataalamu wa logo
  3. A

    Nataka kupata watu wa kutengeneza nembo (LOGO) ya taasisi ya fedha haraka

    Wadau wa biashara na uchumi.Nahitaji kupata watuwanaoweza kutengeneza nembo.(LOGO) ya taasisi ya fedha. Awasiliane nami kupitia gm.daimabrokers@gmail.com
  4. A

    Ya mke wa Slaa na Mlinzi binafsi wa Dk. Slaa

    Nadhani kama ni kuwa critic namba moja ( tena mwandamizi ) wa idara ( tiss ) humu nadhani ni mimi na nashukuru kuna baadhi ya changamoto zangu ambazo nimekuwa nikiwaandikia kupitia hapa hapa jf na sasa baadhi wameanza kuzitekeleza na nawapongeza tiss kwa juhudi hizo ila ktk hili la kutaka...
  5. A

    Kinana akutana na viongozi wa wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoani Dodoma

    Hingereni kwa kujitahidi kuhakikisha mnapata uungwaji wa vijana. Lakini mambo machache yanastajaabisha toka kwenu hususani ninapoona bango lenye maneno ya baba wa taifa na huenda jinsi mnavyoyatumia. Umadhubuti wenu upo wapi? Je ni kwa kugawa fedha kwa vijana kama hao? Je ni kwa kuhakikisha...
  6. A

    Kwa hili Godbless Lema unakosea

    Tupo pamoja katika mkutano huo. ila tusiwe na jazba dhidi ya dhalimu CCM, ukweli tutashinda kwani Mungu yu Upande wetu Tuache uoga na tusimame imara. Tupende kutafuta haki na kweli itatuweka huru Peoples Pamoja
  7. A

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Mwanakijiji tupatie na kura za udiwani ulifanyika jana
  8. A

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Saa ya Ukombozi imewadia, sasa operation sangara inabidi ibadili uelekeo kwa kujipanga kuingia mikoa ya Pwani,Lindi, Mtwara na Tanga kwa mashambulizi zaidi ili tukamilishe kanda zote. Hongera kwa Kiwira na Mwanza kwa udiwani. Aluta Kontinua, Viva CDM
  9. A

    Mbowe kuhusu baraza la mawaziri

    Katika hotuba yake aliahidi kuwa na baraza dogo,makini,litakalo ondoa urasimu na la wachapa kazi. Watanzania tusipende kupongezana tu Kinafiki, tuwe wazi na wakweli, Je baraza hili ndilo dogo alilokua anamaanisha? Au tunasifu tu bora siku iishe? Je kweli kwa mtu kama Shukuru atafanya lipi kama...
  10. A

    Je ni kweli sisi tumeuza zaidi katika soko la E.A kama jeykey asemavyo?

    wakuu wana jamii hongereni kwa elimu bora. napenda kufahamu uhalisia wa hili swala la watz kuuza zaidi katika soko la jumuiya ya afrika mashariki. Je imeleta tija kwa kiasi gani kwa mtz? a.n aka comlee
Back
Top Bottom