Search results

  1. S

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Ngombe hata akonde vipi hawezi kuwa mbuzi
  2. S

    Tanzania: Deni la taifa sasa lafikia Sh 22 trilioni! Waziri adai bado tunakopesheka...

    Usihofu bado tunakopesheka hahaha in Tz kila kitu inawezekana
  3. S

    PENDEKEZO LA WASTANI: Tusiishie kutengana kwenye kuchinja; tutengane kwa kila kitu...

    Mwanakijiji suluhisho sio hilo unalotoa pamoja na dalili zako za kukata tamaa. Kisa cha hali ya sasa ni dhuluma na wizi na ubabaishaji kila sector na kwa muda mrefu bila kujali nani alianza au anamaliza..System inaabudu pesa zaidi na wale wanaotaka kufanya mambo sawa wanawekwa pembeni...Nadhani...
  4. S

    NSSF na Infrastructure Investment: Kigamboni Bridge, IPP, Road Construction.. ???

    Nina kawaida ya kutopenda hii Hali ya watt wachache kuaamua tu wapi wawekeze invade sidi wanachama hatuna Minsk ya mutants. Nadhani hii Ndio situation tumefikia kuanzia siasa koala uchumi....Tz needs overhaul ya Nguni...Mimi na wewe...thanks MKJJ kwa hii topic
  5. S

    CELTEL- ZAIN now AIRTEL . SHERATON now MOVE N PICK HOTEL. tafrani!!!!

    Hawa airtel sio Bharti corporation ya India? Wame-nunua mzee ndio ubepari huo..Nyie wekeni sheria zenu vizuri wao watajipanga
  6. S

    Kikwete kashituka, anaweza kupunguza makali lakini kukwepa kabisa ni ngumu

    Naikubali analysis yako uwezo-wako, ila kwenye demokrasia ya kweli wananchi sio tu wanamnunia mtu anaewa boa bali wanaweza kumtosha pale alipo...Sisi naona mazali yetu ni kungoja tujaribishe tena 2015..tubadilike
  7. S

    REVEALED: Degree ya Waziri William Lukuvi ni feki!

    Jamani hii inchi inakwenda wapi? Hamna usalama wa Taifa ku veto hawa jamaa au munawasingizia? Time has come wawe wanaitwa kwa interview in public wa-defend hizo cv zao
  8. S

    Greetings wana JF

    Hodi hodi wana JF naingia kwenye familia...Great Thinkers Oyeee
Back
Top Bottom