Search results

  1. D

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    Sijaona point katika maelezo yako,inwezekana kuna sehemu alikosea katika uongozi wake lakini hujaweza kujenga hoja,umekurupuka.. Ila all in all CCM wataanguka tu hata wamtupie nani pale kati...wamezoea kulindwa sana na dola ila mpasuko wa ndani ya chama hauwezi kulindwa na dola...ila gud shot...
  2. D

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    alafu wewe na point zako unanikeraga wewe,na hilo jina sijuwi nani kakupa,likichwa limejaa uji alafu unajiita jenious!!!acha ukuzi eroo...njoo Arusha utajuwa why we're fighting!!screw u!
  3. D

    Yanayotokea Arusha Rais una la kusema?

    Kwanza kabisa nawapa pole wale wote wanaopigania haki,mimi najiuliza huyu mtu anayejiita ni Rais wetu haoni yote haya?kwanini anakuwa akifungia macho mambo makubwa hivi,tafsiri ni nini!!je yeye ndio anatoa order?au hana la kusema?my wory ni kuwa i dont even know if he cares kuona watu wanakufa...
  4. D

    Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

    am nt suprised,the Guy is a monster,n he gave birth to two gud mosters as well,hawa nao tuwaangalie sana!
  5. D

    Cabinet mpya: JK kakosea wizara 5 nyeti

    I didn't espect anything new kutoka kwa Jk!!so am nt suprised na baraza lake,mambumbu wengi ndio wameunda serikali!
  6. D

    Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

    Hawa Ghasia,Sofia,Wasira na Makongoro hawafai kabisa..hapa Jk mmhmh!
  7. D

    Mwitikio wa Baraza, wale waliotemwa na Mengineyo

    Baada ya kutangazwa baraza la mawaziri leo hii napata maswali mengi kichwani, JK anataka kuarchive nini?Je yale yote yaliosemwa na wapinzani kayapuuza au! Kweli kibaya kibaya tu... Mbona kapatia kwenye wizara ya Ujenzi??kumbe akiamuwa anaweza,so ni kiburi na Ubinafsi wake tu!
Back
Top Bottom