Search results

  1. P

    Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

    Umemaliza mkuu, hiyo biashara ilikuwa ya kimkakati, na wao walitakiwa waende kimkakati. Issue kama hiyo sidhani hata DC ni size yake. Sijamsikia PM wala zagazaga zingine kuongelea... bungeni ndio kabisa wanajadili Simba na Yanga mara mbunge alievaa suruali. Nnjii Hii ni shida kweli kweli
  2. P

    Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Wapiga kura 28 walipewa karatasi 28 zikiwa na majina 8. Kila mpiga kura alitakiwa aweke TICK ✓ kwenye majina matatu tu. Karatasi zilipokusanywa Nyalandu alikuwa na TICK ✓ 28 Kutoka kwa wote. Lissu alikuwa na TICK ✓ 24 kutoka kwa hao 24 Kati ya 28. Na mwingine jina silijui alikuwa na TICK ✓ 23...
  3. P

    Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Wapiga kura 28 walipewa karatasi 28 zikiwa na majina 8. Kila mpiga kura alitakiwa aweke TICK ✓ kwenye majina matatu tu. Karatasi zilipokusanywa Nyalandu alikuwa na TICK ✓ 28 Kutoka kwa wote. Lissu alikuwa na TICK ✓ 24 kutoka kwa hao 24 Kati ya 28. Na mwingine jina silijui alikuwa na TICK ✓ 23...
  4. P

    Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Nenda Mloganzila ukaone wagonjwa ndio uje useme hayo uliyosema. kuna mkuu alisema yeye ni mwanaume haogopi korona, sasa hivi yupo wapi? Kajichimbia tu
  5. P

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Hii ya viti maalumu pamoja na wateule 10 wa rais ni upotezaji wa fedha za walipa kodi
  6. P

    USHAURI: Tubadili mfumo wa viti maalum, vifutwe!

    Wanamwakilisha nani?
  7. P

    Upi ni uwezo sahihi wa mwanaume anapokuwa faragha?

    Nina wasiwasi na hii report yako
  8. P

    Serikali: Ukitaka kukaa mita 200, uwe na kibali

    Kwanza hatuna waziri technically, Rais alipovunja bunge mawaziri walipaswa kuwa hawapo. Kwa kuwa huwezi kuwa waziri bila kuwa mbunge. Hizi ndio baadhi ya sheria za kijinga za kuwa na watendaji ambao ni wanasiasa. Mawaziri wasiwe wabunge period.
  9. P

    Kippi Warioba jiheshimu

    Acheni ushabiki, Hizo data zinaweza kupatikana kutoka tume tu. Mtu mwenye access na database amefanya hivi; select;from; group by:katika database ya tume ili aweze kupata waliojiandikisha kupiga kura kawe. Ndio maana hata kama kwa sasa huishi kawe lakini ulijiandikisha katika hilo jimbo utapata...
  10. P

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Fuatilia vizuri, Rakesh hayupo tena Twaweza.
  11. P

    Mtoto wa Magufuli alizikwa kwa Ndege Ya Rais wa Tanzania

    Alizikwa au mwili wake ulisafirishwa na ndege ya Rais? Sikiliza vizuri, Rais alikuwa aende Chato kufanya kampeni, coincidentally kifo kikatokea.
  12. P

    CHADEMA jimbo la Mhambwe na migongano ktk harakati za uchaguzi mkuu, Wapinga maamuzi ya UKAWA

    Fikiri kwa kutumia ubongo...MB Kafulila bado mbunge kwa hiyo ni haki yake kugombea tena. Unless aseme kama hagombei..
  13. P

    CHADEMA inatumia koti la UKAWA kujikongoja kisiasa

    Hii ni shida, Kuna vyama TLP, ACT, DP CCJ, na vinginevyo. wanaweza kuanzisha umoja wao. Kwani ni lazima waende UKAWA?
  14. P

    Kazi za Kiongozi Mkuu wa ACT-Tanzania

    Kwa hapa, ZZK ni mfalme.
  15. P

    Wakatoliki tudai mahakama za canon law

    Sasa ndugu zangu kama kitabu chenu cha dini kinawaruhusu kuanzisha si muanzishe, serikali ina kitabu chake ambacho ni katiba. Kesho mtadai na nyumba zenu za ibada mjengewe. Acheni ujinga kafanyeni kazi. Kazi kuoa wake wengi na kukaa vijiweni. msonyo....
  16. P

    Picha: Mwanasheria mkuu atoa taarifa kwenye vyombo vya habari

    Heko DJ aka m/kiti wa UKAWA kwa kuona mbali. sasa wanawabembeleza kwanini? Waendelee tu kuchakachua maoni ya wananchi.
  17. P

    Son of Ex-Minister Malima in historic medical discovery

    Kwa ufupi tu, ni vitu viwili tofauti, 'discovery' = ni jinsi ya kutambua hayo maradhi mapema kwa kutumia kifaa 'invention' yao. Kwa hiyo wao wamevumbua kifaa ambacho, watu wa maabara (medical) watakitumia kupima hayo maradhi
  18. P

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Ile story ya kwenda Germany nafikiri watu wengi wanaifahamu, hamna mtu anaebisha kuwa Abdulwahid na mchango wake katika harakati hadi uhuru. Isipokuwa nilipomuuliza Ritz swali kuwa ni lini Sykes alikuwa Rais wa TAA hajanijibu ila Kaweka maelezo marefu tu angalia post # 1316. Hivyo kusema baada...
  19. P

    Tanganyika(TANU) imetoka mbali waasisi wake wengi wao wametangulia mbele ya haki

    Niambie wewe, lla najua ile nafasi ilikuwa wazi. Sykes alikuwa katibu
Back
Top Bottom