Search results

  1. M

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    ​Hivi wandugu hii nchi inaenda wapi kwanini viongozi wetu wanakurupuka huyu anakuja na kauli hii na mwingine anakuja na kauli nyingine...sasa katibu wa bunge anasema posho hazijaongezwa anakuja spika anasema zimeongezwa sasa nacho jiuliza ni kwamba kweli nchi yetu imefika kiwango hichi...
  2. M

    Tanzania Muda mrefu itakuwa Zimbabwe ya Pili

    Kwa huu mfumo wa Serikali yetu kuwapa Wageni kumiliki ardhi nadhani tunaitafuta Zimbabwe mpya kwani kuna siku wananchi sanasana wanafunzi wanaomaliza vyuo na kukosa kazi watakuja kuwatimu hao wageni...lakini pia najiuliza ina maana watz hatuwezi hata kulima mpaka tuwape wageni ..je tunaweza nini...
  3. M

    Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Ntafurah sana Kama Kyela itakuwa upande wa Malawi kwani Malawi hawana Tatizo la umeme kama huu na hata Viongozi wakituletea longolongo tutakuwa tunaandamana na kudai haki yetu...
  4. M

    WATCH: Oil explorations & projects in Tanzania

    DOMINION PETROLEUM LIMITED (“Dominion Petroleum” or “the Company”) EXTENSION OF BLOCK 7, OFFSHORE TANZANIA Dominion is pleased to announce that the company has just been granted a 1 year extension to the Initial Exploration Period for its deepwater Block 7 by the United Republic of Tanzania’s...
  5. M

    JK Brigde: Bei 805bn ni sahihi?

    Kwakweli hapo naona kuna changa la macho ..lakini mie sioni ajabu kwani JK na chama chake cha kijani hawana muda kabisa wa kufukiri kuhusu wananchi wa nchi hii na ukiona kuna mradi unafanyika basi ujue tayari percent imepita...
  6. M

    Muungano kambi ya upinzani mashakani

    Ndugu Zdaima unaongea vizuri sana lakini kama unakumbuka mwanzoni kabisa wakati mchakato wa kuunda kambi ya Upinzani..CHADEMA waliwaambia CUF kwamba wangependa waungane nao lakini CUF walisema hawakao tayari kuungana mpaka CHADEMA wakubaliane na NCCR-MAGEUZI...na swali linakuja kwa CUF je...
Back
Top Bottom