Jamani mm siyo mtoto kama mnavyodhania, ni mtu mzima kabisa. Niko above 20 yrs. Kama kuna mtu anajua suala langu naomba anisaidie kwa uwazi na si kwa mafumbo na matukano.
Mm tangu naanza kuwa na mahusiano sijawahi kukutana na binti bikra. Lakini sasa wakuu naomba kuuliza, imagine unakutana na binti bikra na hamjapanga kupata mtoto, je kuna uwezekano wa kutumia kondomu ili kuzuia mimba? Nauliza hvyo kwa maana kuna mtu aliniambia kuwa bikra ni ngumu sana kuitoa na...
Tuna haja ya kuendelea na uchunguzi na ikiwezekana tuje humu na rank ya kada zinazoongoza kwa usaliti kwenye ndoa. Hii nadhani inaweza kuwafanya kubadili tabia make huyu mama kasema kuwa wengi wao hawa manesi wanapotoka vyuo na kupangiwa pale(kwa wale wanaoanza kazi) huwa ni wapole, wakarimu na...
Kuna point moja alisema, kwa wale wenye mahawara, akishafika kazini kwenye zile night zao huongea na mlinzi amruhusu hawara yake kwa kumpatia kitu kidogo mlizi. Wapo pia wanaofanya hvyo na madaktari humo humo kwenye vyumba vyao kwa kufanya mpango na manesi wenzao walipo zamu nao.
Hata mm nilikuwa naamini hvyo lakini alivyosema manesi wote wa pale na ukizingatia ile ni hospitali ya mkoa niliogopa sana. Sikuchelea kuconclude kwamba ni wote! Make kama ni kwa hospital hii kwa nn siyo nyingine? Mmmh kama ni kweli basi hii kada yakuogopwa sana!
Alafu kingine, kwa uzoefu wangu manasi wengi wanaolewa wakiwa wameshakuwa wakubwa wakati kada nyingine kama walimu unakuta order yake ipo kabla hata ya kumaliza chuo.
Ndo maana nimeleta kwenu nilichokisikia, hata mimi niliposikia hvyo nikajiuliza hv kumbe hii kada ndo inaongoza kwa uzinzi. Lakini sikupata jibu ndo maana nimekuja kwenu nipate uhakika.
Wana jf, katika professional za watu na mahusiano nimekutana na kikao cha watu wakijadili hiyo mada. Wanasema kuwa wanawake wanaofanya kazi ya uuguzi(manesi) ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa zao kulingana na nature ya kazi yao. Kuna mama mmoja naye ni nesi kwenye hospitali mojawapo ya mkoa hapa...
Nashukuru sana kwa msaada wenu, lakn kuna kazi ilitangazwa na KCU (Kagera Co-operative Union). Naomba mwenye detail yake kwenye hilo gazeti la the guardian tarehe 12 machi anisaidie.
Wanajf habarini za asubuhi. Poleni sana na majukumu. Naomba sana kwa yeyote mwenye gazeti la The Guardian la jana tarehe 12-03-2012 anisaidie kuniwekea humu nafasi za kazi zilizotangazwa humo kwenye gazeti. Naomba sana ndugu zangu mnisaidie. Mimi niko mbali na mji na si rahis kulipata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.