Search results

  1. Gobegobe

    TAARIFA: Maendeleo ya Afya ya Kibanda

    Mungu amjalie kupona haraka. Na zaidi naomba awafichue wahalifu waliohusika na kitendo hiki cha kinyama kisichomithilika.
  2. Gobegobe

    Kinachotokea zanzibar ni maslahi binafsi ya watu na si udini

    Unatisha Mkuu umeshamaliza uchunguzi na kuanika matokeo!
  3. Gobegobe

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    R.I.P father Mushi. Katika hili nasita kusema Bwana na Bwana ametwaa.
  4. Gobegobe

    Wabunge ambao wamesema wanastaafu 2015

    Anne Makinda ni mbunge wa njombe na siyo Songea
  5. Gobegobe

    Hivi ni kweli watumishi wa umma wanatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi?

    Serikali kupitia watumishi wake inawajibu wa kutekeleza ilani ya chama tawala. Msimamizi wa utekelezaji wa ilani ni waziri mkuu. Hivyo, taasisi zote za serika hutakiwa kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa ilani ofisi ya waziri mkuu.
  6. Gobegobe

    Mwakyembe azuia watumishi wizara yake kupanda daraja la kwanza kwenye ndege

    Madaraja ya usafiri yako kwa mujibu wa kanuni za kudumu za utumishi wa umma. Wapo watumishi kwa mujibu wa nyadhifa zao wanastahili kusafiri kwa daraja la I,II na III. Kuwazuia watumishi wa wizara yake pekee huku watumishi wa taasisi nyingine za serikali wakiendelea kuponda raha,kwa maoni yangu...
  7. Gobegobe

    Kituko kingine Wizara ya Afya, Waziri abariki uteuzi wa AMO kuwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

    Hoja ya msingi kwa mleta uzi ni kwamba vigezo na masharti havikuzingatiwa katika uteuzi wa Mganga Mkuu wa Mkoa PERIOD. AMO na MD ni kada mbili tofauti. Na ieleweke kwamba Advanced diploma ya clinical medicine ambayo ndiyo wanayo AMOs siyo equivalent na degree ya udaktari. Kwa madhumuni ya...
  8. Gobegobe

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Mungu Ibariki Tanzania
  9. Gobegobe

    Shibuda sasa amvaa Dk Slaa, adai kuwatumia BAVICHA

    Ngoja nipoteze muda kumpuuza
  10. Gobegobe

    Mbunge Selasini apata ajali mbaya! Akimbizwa hospitali, watatu wafa papo hapo akiwamo mamake

    Ee Mungu tunakuomba kwa ajili ya rehema kwa uliowaita kwako kupitia ajali hiyo, tunakuomba pia kwa ajili ya afya ya Mh. JS. Kwako wewe yote yawezekana. Amen.
  11. Gobegobe

    Nimemuheshimu rasmi David kafulila, Mbatia usikubali uteuzi kama wewe si mamluki

    Mwenyekiti wa chama kupewa zawadi ya ubunge nini hatima ya chama?
  12. Gobegobe

    Baraza la mawaziri kutangazwa wakati wowote-Ikulu!!

    Afadhali umesema, nilivyoiona hii haraka nikakumbuka ule utabiri wa mvua na ngurumo za hapa na pale.
  13. Gobegobe

    Taja jambo lolote lililotamba enzi hizo na unahisi vijana wa leo hawajashuhudia zaid ya kusikia tu!

    Ukiwa tajiri ama ni chinjachinja a.k.a mnyonya damu au mchawi. Siku hz kikuchanganyia nasikia unaitwa freemason.
  14. Gobegobe

    Vedastus Mathayo Manyinyi-mbunge wa Musoma mjini-2015

    Umesomeka mkuu mwitaz. Hii ndo raha ya jf.
  15. Gobegobe

    Mbunge huyu hatufai

    Mbuni hongera kwa kuleta huu umbeya wako, umefanya Rev. Msigwa ajulikane kwa maneno na matendo. Hongera baba mchungaji kazi inaonekana jimboni na kitaifa pia. Wenye wivu.. ...
  16. Gobegobe

    Kikwete apokelewa na wanachama CUF badala ya CCM airport Tanga

    Mmmh hapa kuna kitu ya kutafakari kwa kina zaidi. Iweje ccm asionekane hata mmoja? Mind u Tanga ndo mkoa pekee ambao hauna mbunge wa upinzani, that means huko ni ccm kwenda mbele. Lakini hata hao cuf waliompokea wanaonekana na nyuso za furaha na wanamshangilia mkulu.
  17. Gobegobe

    Simba (Tanzania) vs Ahli Shandy (Sudan)

    Ushindi halali kabisa, vijana wamecheza. Nimependa hii dk ya 66 bao la kwanza, dk ya 77 la pili na dk ya 88 la tatu.
  18. Gobegobe

    Msamiati Mpya!

    Naenda kusema kwa dada
  19. Gobegobe

    Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika

    Maskini Max hapo atakuwa alishabugia nyagi yake tayari.
  20. Gobegobe

    CCM wajiandaa na kampeni Segerea-Uchaguzi Mdogo

    Naibu waziri wa kazi anaongeza ajira kwa kuendesha biashara ya baa!
Back
Top Bottom