Search results

  1. T

    Biashara ya kupangisha nyumba na fremu ni utajiri mkubwa watu wengi hawapendi kuwafumbua wenzao

    Wazo la Bohari naona ni zuri, ngoja niongeze kwenye Tangazo
  2. T

    Biashara ya kupangisha nyumba na fremu ni utajiri mkubwa watu wengi hawapendi kuwafumbua wenzao

    Mimi nakubaliana na wewe. Nimejenga majengo ya shule ina madarasa matatu eneo la mbezi Luisi, wanaokuja kukodi wananilalia. Hata faida siioni. Sasa hivi nimewatimua naikarabati natafuta wapangaji wengine. Safari hii Nataka niweke na matangazo
  3. T

    Genymotion, emulator bora ya android kwenye PC

    Kwa hiyo hii si kwa ajili ya simu zote za android au?
  4. T

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi, January 29, 2015

    Hivi kuna redio streaming inayorusha matangazo ya bunge?
  5. T

    Scholarship za kwenda kusoma Uchina

    Umeingia site yenyewe ukaona ninayoyaulizia au umejibu tu kwa kutazama link!!? Inavyoonyesha sio site ya ubalozi na ingekuwa vizuri kama utajibu ukiwa unajua unajibu nini
  6. T

    Scholarship za kwenda kusoma Uchina

    Chinese Embassy in Dar es Salaam, Tanzania wanatoa schoolaships kwa vijana wanaotaka kwenda kusoma china. Kuna mtu yeyote anajua chochote kuhusu hawa jamaa. Ni wa kweli au ndio utapeli?
  7. T

    Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

    Aisee unasema wiki wakati inaenda wiki ya 3; morogoro rd yote hakuna maji!
  8. T

    Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

    Hivi kuna tatizo gani wiki ya 3 maji hayatoki? Dawasa mnafanya kazi gani? Mnyika upo au umetutosa hadi magonjwa yalipuke!!!!? Kwa kweli inasikitisha sana.
  9. T

    Program ya kusomea gps cordinates

    Mlimani city vinauzwaje?
  10. T

    Natafuta GPS Track kuweka kwenye gari

    Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker? Mwenye kujua naomba maelekezo
  11. T

    Program ya kusomea gps cordinates

    Hivi kuna kifaa ambacho unaweza kukiweka kwenye gari ukaki configure kikafanya kazi kama GPS Tracker?
  12. T

    Sitta awaponda UKAWA mbele ya waandishi wa habari

    hapo nani bora kati ya sita na makinda?
  13. T

    kaseja kupelekwa TP Mazembe kwa Mkopo

    Nimesikia habari kuwa Yanga wanampeleka Kaseja TP Mazembe kwa mkopo, je kuna ukweli wowote!!? Mwenye taarifa kamili atujuze.
  14. T

    Picha: Rais JK atembelea na kukagua jengo la bunge kuangalia jinsi wabunge wa katiba 600 watavyokaa

    Sasa huyu Ndugai ujanja wote akikutana na Kikwete anakuwa hoi!! Yaani picha zote mkono kaweka tumboni utafikiri mtoto wa shule, yaaani hadi anaboa, kama ni heshima; heshima gani hiyo khaaaaaaaaa!
  15. T

    Madereva wa magari ya abiria wa kwenda mikoani wamegoma

    Napita Ubungo hapa stand ya mkoa naona mabasi yote yapo ndani,kulikoni?
  16. T

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    natumia ubuntu, lakini siwezi kudownload video kwenye youtube. Je kuna software kama idm ya windows inaweza kutumika?
  17. T

    Tetesi za Dirisha Dogo Simba

    tena mechi zote wanapata penati, hii imekaaje!!!!?
  18. T

    SAA nane yatangazwa rasmi Kuwa hifadhi ya taifa

    Je mwenye kisiwa hicho mnamjua? Wapo watu walizaliwa pale na kukulia pale hadi wakoloni walipowafukuza. Kwa nini serikali yetu isifikirie kuwatambua!!?
  19. T

    Simba Sport Wakata Rufaa?

    na akishapita nasikia kapangiwa kucheza na chipumbu fc ya msumbiji!
Back
Top Bottom