Thanx mkubwa. Wabongo hua hatuko "ROMANTIC" na mara nyingi tunachanganya MAPENZI na NGONO. Kama ni ngono raha ufikia kilele pale washiriki wa tendo hilo wanapofikia mwisho wa tendo. Raha ya mapenzi huwa wakati wote mtu awapo na mpenziwe na karaha ya mapenzi huwa pale mtu anapokua mbali na...
"KILIMO NI UTI WA MGONGO WA TAIFA LETU" Kauli hii nimekua nikiisikia toka naanza kupata akili! Viongozi wetu wamekuwa akiimba wimbo huu unaokifu kwa muda mrefu zaidi ya mno! Lakini cha ajabu hakuna kiongozi anaeonekana kuamini hilo. Kwa kuwa matendo yao hayafanani kabisa na wimbo huo. Hivi kweli...
Mkubwa uko sahihi kabisa! Mimi nashangaa kwa nini Vyama pinzani vinashangaa kushindwa kila uchaguzi!!.. Hivi kweli itoke siku Yanga waandae mechi na Simba, halafu uwanja uwe wa Yanga... Refa atafutwe na Yanga... Obvious washabiki watakuwa wa Yanga... Halafu Simba ipate nafasi ya kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.