Search results

  1. M

    Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Rais amedai Prof; Prof. Muhongo tunamweka kiporo; kuna uchunguzi nimeagiza ufanywe sijapata majibu. Tutafanya maamuzi anytime Mi sijamuelewa Prof. JK, Prof. Muhongo ni muongo haikuwa na haja ya kumuweka kiporo maana alijaribu kujinasua alipopewa nafasi ya kujitetea bungeni akaishia kusema...
  2. M

    Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

    Mi mbona sijaona balaa lolote, pako shwari tu. Polisi wametanda, wapo na gari lao la maji ya kuwashawasha lkn shughuli zinaendelea kama kawaida. Hakuna vurugu labda mleta mada aweke picha zaidi za kuonyesha hilo balaa.
  3. M

    Ukweli huu unauma ila ndio iko hivyo

    IQ haiambukizwi we "mburura". Unazaliwa nayo na si lazima uende shule. Sema wazungu wanajua kuwaendeleza watu wenye vipaji lkn kama we unavyofikiri. Hao wanaooana wanaume kwa wanaume nao wana IQ kubwa eeeeh! Hivi unajua kama ss waafrica ni gifted, fanya kazi na mzungu atakushangaa, yy anafanya...
  4. M

    Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

    Sasa hivi ma-house girls ni form 4, kama wewe bado unapata darasa la 7 basi una bahati mbaya.
  5. M

    CHADEMA wanapandikiza chuki wala si siasa na ni dhambi kuu kwa Amani

    Wapandikiza chuki ni CCM si CDM.
  6. M

    Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Ni sahihi kabisa, kama kweli si muhusika wa mabango angewakana hao vijana. Lkn amekaa kimya, that means anafurahia yanayokea.
  7. M

    Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

    Acha umbulula, siasa sio physics.
  8. M

    Fananisha: Gharama za mkutano mmoja wa hadhara wa CCM vs wa CHADEMA

    Acha kutukana watu, taja jengo moja lililojengwa kwa fedha za ccm.
  9. M

    Wasomi 300 wajiunga na CCM

    Kwenye red hapo......Mmmmmmmh!!!!
  10. M

    Imagine ZITTO anahama CHADEMA

    Zito bado mwanachama wa CDM achane kuweweseka.
  11. M

    The Man behind 2PAC's Death

    Angalia hizo sababu utapata jibu. Top 20 reasons why 2Pac is alive
  12. M

    Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Ilani ipi ya chama inayoruhusu KUBAKA?
  13. M

    Mtandao wa Zitto Kabwe ni mkubwa

    Zitto ni nani wako? Mbona unamtaja taja?
  14. M

    Ufafanuzi wa Mnyika kuhusu tuhuma za CHADEMA kubadili vipengele vya Katiba...

    Nina wasiwasi na huyu m/kiti aliyetupia kashfa ya kuchafua chama mtandaoni, nadhani ameshavuta kitu kidogo kutoka kwa maccm. Mh. JJ usipoteze muda wako kuendelea kutoa ufafanuzi kwa wanajf, wengi wao ni wale wa buku 7 hawana hoja, wamefilisika kimawazo. Watanzania tunahitaji maendeleo sio...
  15. M

    CHADEMA chakabwa koo kuhusu ukaguzi wa mahesabu

    Kama sera ya wanachadema ni matusi, maccm sera yao ni ipi? Kwani wengi ni MAFISADI, WAKWARE, WANAOA VIJANA WA KIUME NA MACCM YA KIUME YANABEBA VIBINTI AMBAVYO NI KAMA WAJUKUU ZAO. Sera yenu ni ipi kati ya uchafu nilio orodhesha hapo juu?
  16. M

    Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

    Daaaah! Unampinga sana jamaa lkn kitu usichokijua ni kama usiku wa giza. Au kuna kitu unakijua ndio unajitahidi kumpinga mleta mada ili akate tamaa? Msukuma-shemeji wa Mwema-BOT-EPA.......Endelea kupinga tutatoa vyote
  17. M

    Dr. Slaa ndani ya Indianapolis Radio

    Wenzako wa buku 7 wapo wapi, naona upo pekee yako. Njaa bwanaa!!!
  18. M

    Tunisian Girls Are Coming Home Pregnant After Performing 'Sexual Jihad' In Syria

    Ndio utadumu mpaka siku ya mwisho, hata shetani na kazi zake zitadumu mpaka siku ya mwisho.
Back
Top Bottom