Search results

  1. afande kifimbo

    Kasema tuachane, baada ya kudaiwa Kodi ya nyumba anaomba turudiane

    We jamaa mizunguo sana ...Nurse umemsumbua sana......katafunane na Nurse tujue moja basi
  2. afande kifimbo

    Nimeamua kumpotezea rafiki yangu

    We mpe show acha longo longo
  3. afande kifimbo

    MK 5 Deadly Alliance Link

    Mwenye link sahihi kupata hiyo game au setup msaada. Mortal kombat 5 Deadly Alliance PC
  4. afande kifimbo

    Umewahi fanya mapenzi na mtu ambaye hukumdhania?

    nimejikuta nanacheka ,...haha aanyway hii ndo Growing Up ndo experience
  5. afande kifimbo

    Kwa haya yanayoendelea Pemba, ni vema sasa Serikali isipeleke Watumishi Wakristo

    waafrika na dini dah......so wao wanoana kabisa sawa kuandamana kupinga...so wanaijua ini sana sio ....shida umasikini sio dini ..umasikini wa maarifa haswa kuliko wa fedha etc ..wanaoandamana hao ....anyway tuache ...ila maaniko yatatimia so kanisa litafika tu kila kitu kitatimia kila kona...
  6. afande kifimbo

    Maalum kwa wababa

    Speechless ... respect kwa Baba wote
  7. afande kifimbo

    Je, zama za kituo cha ITV zishaisha? Kijiti kapokea UTV

    ITV naangalia sababu ya ISIDIMGO sasa UZALO tu......napo wameanza upuuzi wa kubadili badili ratiba .....useless station now......kama sio UZALO sioni cha kimuangalia.....wako na akili ndogo hawana ubunifu
  8. afande kifimbo

    Uzalo Special Thread

    Nimamindi kinoma.....mambo gani kutubadilishia ratiba.....nimekwazika sana yani......wanahamjsha UZALO saa nne na nusu...wanatufanya sisi watoto hatuna ratiba zetu miaka 20 ya ISIDINGO tushaitenga saa moja na nusu sasa mnakuja kuanza UZALO mnaanza kubadili ratiba....
  9. afande kifimbo

    Kila niki-cheat ananiambia ameota ndoto kuwa nina Mwanamke mwingne

    wembe ule ule we kataa tu, ila jiongeze sasa
  10. afande kifimbo

    Mwanamke niliyezaa nae ananipa majukumu yasiyonihusu

    acha kupelekeshwa ......kodi na simu vinakuhus vipi..kwanza njia zake zote batili tu
  11. afande kifimbo

    Wanaooa mademu wakali tena harakaharaka, mtakuja kujuta

    jamaa ni amateur, anatakiwa awe lijendari ...but toolate..why uwe weak why demu akupelekeshe kisa mzuri sijui wa sura na umbo...hao sisi tunawala tuu kibaharia
  12. afande kifimbo

    Kuna ufa kwenye nyumba, fundi kaziba mara mbili na magunia hajafanikiwa

    Na kwa nini ufa utokee...mbona kuna nyumba za miaka wakati tunakua hazijawahi kuwa na nyufa...ndio tatizo la kukwepa gharama za ujenzi na kupata olimradi nyumba
  13. afande kifimbo

    Je, tofali 2800 zinatosha kujengea nyumba ya vyumba 3 na kila kitu ndani?

    hajui kutafuta bado, hajui waliokuwa juu walitafuta kuanzia chini, Hata General alianza kwa kuwa Private.
Back
Top Bottom