Search results

  1. V

    Rais wa Zanzibar awateua Mufti na Kadhi Mkuu wa Zanzibar

    msingi wa suala lenyewe la uteuzi linaonekana kabisa kutoka usaoni mwake kuwa lina maana ya kulenga jambo hiki ndo kile tunachokiita homa ya mungano.huwezi kuwa na jamii inayoendesha sheria inazozitambua yenyewe na kuacha zile za nchi nzima swali ni kuwa nani anyoshe kidole,very simple mi kuwa...
  2. V

    shivji,jenerali kuunguruma kesho nkrumah hall

    Huu ndo umakini wa wasomi tunaoutaka...si kuendekeza miropoka ukweli ni kuwa hawa jamaa watawaprove wrong wale wanaviraka kama werema
  3. V

    Kwa nini watu wanaogopa kuita tanganyika,wanaita tanzania bara?

    mambo ya mkanyiko katika union hayana budy kupata ufumbuzi ila pia sababu sisi ni jamaa moja na tuliingia yamini ya kuwa kitu kimoja ni vyema kuweza kuyapa kipaumbele mambo ya msingi yanayouweka muungana ,ths union ime2pa heshma kimataifa japokuwa ndani shortfalls zipo what is important to...
  4. V

    Kuhusu Beijing

    Eti kuita akina mama beijing inahashiria kuna umoja wa kujadili maslahi ya kina mama,sasa je kina baba wao wanitwaje .....au wao hawana maslahi,au labda tujiite hongkong.
Back
Top Bottom