Mimi concern yangu ni hao watoto wa UDOM. Udom is nothing but another honeypot of CCM. Huyo dogo anayezungumzia fate ya wapigakura wa Chadema, yeye mwenyewe ni wa chama gani. Anafahamu kuwa watu wa kutuomba radhi watanzania wote ni CCM na si mwingine?
Ajichukulie degree yake ya kisiasa hapo...
Shida ipo kwa wenye chama cha kijani kinachofikiria kuzalisha wadudu hasa Mbu ili watuletee vyandarua zaidi..... Kitakachofuata ni kutushauri tuwe tunalala muda wote kuepuka kuumwa na mbu!!!!
Trust me.... Kwa jibu la DR. Slaa watatwist hili suala ili Shitambala aonekane amedhalilishwa... ahame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.