Search results

  1. Kinyasi

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    TRA and FeDex issue at Dar Airport: Nilikuwa napenda kujua kama kuna mwenye this experience anapotuma mzigo kwenda Dar na kuandikiwa ridiculous tax invoice isiyolingana na thamani ya mzigo? Kuna matukio mawili hivi: Mosi kuna siku nilikuma mzigo una thamani ya $278 na uzito wa 21 pounds...
  2. Kinyasi

    FedEx and TRA issue at Dar Airport

    Mbona hata vikipita "Custom Desk" ya hapo Posta kodi yake ni ndogo sana kulinganisha na Custom desk ya airport?
  3. Kinyasi

    FedEx and TRA issue at Dar Airport

    Hivi Kwanini wanalazimisha kumtumia agent kukutolea mzigo? Kwanini basi wasiruhusu mtu achukue invoice na kwenda mwenyewe Custom za TRA kulipia mzigo wake? Ndugu yangu alipowaambia ataenda mwenyewe, akakataliwa na kuambiwa kwamba mzigo unatolewa na ma-agent tu.
  4. Kinyasi

    FedEx and TRA issue at Dar Airport

    Duh! Pole sana mkuu. Vitu kama hivi vinatukatisha tamaa sana wasafirishaji.
  5. Kinyasi

    FedEx and TRA issue at Dar Airport

    Duh! Sasa kwanini ukitumwa kwa Posta at DHL hizo kodi ulizozitaja haziwagi applicable? Kwa mfano Posta unalipia no more than tsh. 10,000= na DHL unalipia tsh. 2,800/= tu? Ina maana hao Posta na DHL wanakwepa kodi au?
  6. Kinyasi

    FedEx and TRA issue at Dar Airport

    Ndugu wadau wa Ughaibuni na Bongo, Ni matumaini yangu mpo salama na mna enjoy spring season hasa kwa wale wenzangu tulio kenye ukanda wa baridi. Nilikuwa napenda kujua kama kuna mwenye this experience anapotuma mzigo kwenda Dar na kuandikiwa ridiculous tax invoice isiyolingana na thamani ya...
  7. Kinyasi

    Magufuli vs Ephraim Mrema

    Duh! Ya kweli haya?
  8. Kinyasi

    Msimamo wa wana CCM juu ya MCC ni dharau na udanganyifu kwa walipa kodi

    Mtoa post kauliza tufanyeje ili kukabiliana na mkwamo huu (matokeo yake); hajauliza tufanyeje ili tusifukuzwe/furushwe na jamaa wa MCC. Suala la uchaguzi Zanzibar na figisu figisu nyingine kwenye umeya, udiwani na ubunge is another topic. Haina uhusiano wowote na post hii. Binafsi sikubaliani na...
  9. Kinyasi

    Msimamo wa wana CCM juu ya MCC ni dharau na udanganyifu kwa walipa kodi

    Kila mtu kwa nafasi yake (waalimu, wajiriwa serikalini na sekta binafsi, wakulima, wafanyabiashara/wajasiliamali na kadhalika) awajibike kwa kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na uaminifu bila ujanja ujanja (Kama vile kukwepa kodi, rushwa, uvivu na kadhalika). Tuachane na mentality ya kwamba bila...
  10. Kinyasi

    Magufuli vs Ephraim Mrema

    Mkuu Tanga kwetu, Thanks kwa kutujuza, japo ni kitambo sana since hoja iwepo mezani.
  11. Kinyasi

    CCM kukosa dira ya maendeleo Tanzania

    Hahaha! Tukutane October 25 saa nne asubuhi, imetulia hiyo.
  12. Kinyasi

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Je unasemaje kuhusu majukumu ya Baraza Kuu?
  13. Kinyasi

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Vipi kuhusu rufaa ya ZZK kwenda chombo cha juu cha maamuzi, Baraza Kuu? Je unataka kuniambia hiko chombo hakipo kihalali kwa mujibu wa katiba ya CDM?
  14. Kinyasi

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Suala kwamba nimesoma ama sijasoma halihusiani na mada tajwa. Toa hoja, kama huna bora ukae kimya kuliko kuanza kuporomosha matusi.
  15. Kinyasi

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Kama nimeandika ujinga, basi usingepoteza mda wako kuja kuandika ulichoandika.
  16. Kinyasi

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Onyesha ujinga nilioandika.... I stand to be corrected. ZZK hatakiwi na nani? na Wenye chama au? Kama ni wenye chama, ni akina nani hao?
  17. Kinyasi

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Unaweza kunipa tofauti ya kushtaki na kuweka zuio?
  18. Kinyasi

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Kwahiyo kauli ya muasisi wa chama ndo kauli ya chama na wanachama wanapaswa to adhere with it?
Back
Top Bottom