Search results

  1. U

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Huu mradi una potential kubwa sana. Mpaka sasa umepitia vizingiti vingi lakini unaonekana unaendelea kuisha na kufanikiwa. For full disclosure, sifanyi kazi kwenye huo mradi wala sijawahi kuajiriwa na consulting or construction company yeyote inayojihusisha na mradi ila huu ni mradi wetu...
  2. U

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Nimevutiwa na mwamko wa wengi kutaka kujua kama huu mradi utasaidia kupunguza msongamano. Hii ni topic pana na ni vizuri kuwa wengi mnatoa maoni yanayotoka moyoni na kwa nia njema. Kinachokosekana ni maoni a wataalamu wanaoijuia writeup ya huo mradi. Nianze kwa kukiri kuwa mimi pia sijaiona...
  3. U

    Ufisadi Mkubwa Ndani ya Adventist Tanzania Union Mission-Unaofanywa na Ndg Denis Wairaha

    Kwenye post yangu ya juu kuna makosa badala ya Kanisa road ni uzunguni Arusha, nafikiri mtaa unaitwa Haile Selaise ila sikumbuki vizuri. Nimejaribu ku edit ila inakataa ku save changes. Asante.
  4. U

    Ufisadi Mkubwa Ndani ya Adventist Tanzania Union Mission-Unaofanywa na Ndg Denis Wairaha

    Nilimuomba mleta mada alete data Zaidi ili tuweze kumsaidiaila naona bado hajaweza kufanya hivyo. Naomba nichangie yafuatayo. Kwenyemchango wangu napenda kusema kuwa simhukumu wala kumtetea mhazini ilaninachangia tu ninachofikiria, naweza nisiwe sahihi. Kuhusu swala la kununua viwanja/kiwanja...
  5. U

    Ufisadi Mkubwa Ndani ya Adventist Tanzania Union Mission-Unaofanywa na Ndg Denis Wairaha

    Ningependa kuchangia hoja hii ila mleta hoja inabidi alete data zinazoeleweka. kwa mfano unavyosema ekari 5 za Dar unamaanisha ni plots ngapi? ziko wapi? Zina hati? Ni kwa ajili ya kujenga nini? Nani walihusika zaidi ya yeye? mashahidi waliokuwepo kwenye kununia hivyo viwanja unawajua? Hoja zako...
  6. U

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Nakubaliana na wewe kuhusu hizo bei za nje. Bei za ndani zipo ila ni ya miti iliyokomaa sana, iliyopandwa na serikali miaka ya hamsini na sitini. Mimi nimetafuta bei na nina connections za very effective people huko serikalini wanaofanya kazi za misitu ila majibu hayapo consistent. Pia kumbuka...
  7. U

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Kuna sources nyingi sana kwenye internet ila nafikiri tunaongelea vitu viwili tofauti. Mimi naongelea bei ya mti shambani siongelei bei ya mbao ulaya iliyokuwa processed tayari. Data zipo wizara ya maliasili na utalii na ni juu sana ila ni kwa miti iliyopandwa miaka hamsini iliyopita na...
  8. U

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Nashukuru kwa maelezo. Tunaomba source ya data. Bado hainiingii kichwani mtiki mmoja kuuzwa $20,000 (ambazo ni Tshs zaidi ya milioni 30!). By the way tunapanda mitiki Morogoro hivi tunavyoongea.
  9. U

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Assante kwa majibu yako; Natumaini unafahamu kuwa tuna umoja wetu wa misitu wengi wetu ni members was jamiiforums. Kama hufahamu ningependa tuwasiliane ili ufahamu tunafanya nini na jinsi ya kuweza kuwasiliana. Organizer wetu ni Malila na tumepanda mamia ya ekari msimu huu. Na baadhi wamekuwa...
  10. U

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Tuwe waangalifu na utoaji wa data zenye matata ili kutunza hadhi ya jukwaa. Tunajua mitiki ni gharama ila hiyo bei (in red font) kwa mti haileti mantiki.
  11. U

    Biashara ya Mbao na Miti: Fahamu Uendeshaji, Faida na Changamoto zake

    Kuna mwenye data za gharama za upasuaji na usafiri wa kuleta mbao Dar ili tuweze kulinganisha tofauti ya kuuza miti na kupasua mbao mwenyewe? Vilelive hiyo miti ya Sao Hill inayouzwa shs 50,000 ina umri gani tulinganishe na umri wa miti ya wakulima wadogo wanauuza shs 10,000 kwa mti. Je, umbali...
  12. U

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Wasiwasi wangu ni kwamba kuna watu wanapenda kuweka post humu JF kufurahisha kijiwe ila hawajui ukweli wake. Mmoja wetu kwenye hii topic amepost information kuwa alienda benki moja Marekani kuulizia wakamwambia akikopa hela na arudishe ndani ya mwaka hatalipa riba. Nimeuliza ni benki gani naona...
  13. U

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Kama una majina ya benki za hapa bongo zinazotoa mikopo kwa riba ya 3% kwa mwaka ukikopa dolla naomba uyaweke hapa. Ila nina wasiwasi na hilo.
  14. U

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Just curious, ni benki gani hiyo ya Marekani iliyokuambia secured money wanatoa free under one year period?
  15. U

    Proposal writing na address za proposal granters

    Are you looking for a loan or a grant? A loan has to be paid back with interest while a grant doesn't have to. Uko Tanzania au nje ya nchi? Idea yako ni mpya au kuna mtu ameshawahi kufanya kitu kama hicho? Kama uko Tanzania inaweza kusaidia kutafuta agency ya serikali inayohusika na your...
  16. U

    Invest A=Tshs 500,000 / month and get F=100 million after 10 years (n=120 periods) with one TZ Bank

    Ni vizuri uulizie benki kwenyewe kama uko interested. Mimi sio mteja wao kwa hiyo sifahamu. Kuna mtu aliniambia niulizie ni benki gani.
  17. U

    Invest A=Tshs 500,000 / month and get F=100 million after 10 years (n=120 periods) with one TZ Bank

    Hiyo ni sahihi ndio maana kwenye one of the post nimeeleza haya yafuatayo: Kumbuka unaongelea miaka kumi. Msisaahau kuwa kuna time value of money. Ukifanya mahesabu utaona hiyo ni about 10% per year return. With the inflation rate in Tanzanaia, if you calculate he real interest, given the market...
  18. U

    Invest A=Tshs 500,000 / month and get F=100 million after 10 years (n=120 periods) with one TZ Bank

    Hautoi laki tano mara moja. Unatoa laki tano kila mwezi for the next 10 years, i.e., 120 payments of 500,000 Tshs. Pia hakuna sehemu wanasema return ni 10% monthly, ila ukipiga mahesabu utaona ni about 10% annually. Fungua Excel na kwenye one of the cells type =FV(0.1/12,120,515000) Hapo kwenye...
  19. U

    Invest A=Tshs 500,000 / month and get F=100 million after 10 years (n=120 periods) with one TZ Bank

    Habari imejitosheleza. Chukua muda usome vizuri the whole post utaielewa. Hilo jedwali linaonyesha number of months (2nd column), monthly contributions (3rd column), na maturity value (Future value) in the last column. Kama unavyoona the rate of return is the highest when you sign up for the...
  20. U

    Invest A=Tshs 500,000 / month and get F=100 million after 10 years (n=120 periods) with one TZ Bank

    Hatimaye nimepata link. Ni Exim Bank. Link hiyo hapo chini; http://www.eximbank-tz.com/Retail/Account/Haba na Haba.php HABA NA HABA What is Haba Na Haba (Recurring deposit)? EXIM Bank Haba Na Haba account is a product designed to give real savers a wholesome benefits For Who * Can be...
Back
Top Bottom