Search results

  1. LivingBody

    JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

    Mimi nilikuwepo ila nilikuwa natumia jina tofauti na hili,, hii yote ni kuwa wakati inaanzishwa nilikuwa nyumbani, na the same year nikawa nimekuja huku ughaibuni hivyo ilinibidi nibadilishe kidogo ID ya hapa jamii, where we dare to Talk, and we are still talking openly,, heko Jambo forum now...
  2. LivingBody

    Hodiiiiiiiiiii

    Karibu hapa ndo jamvini,,,,
  3. LivingBody

    Hatimaye nimefanikiwa

    karibu mura.......
  4. LivingBody

    Kiboko ya Wanyama Wote

    Ok,,, sawa wamekusikia
  5. LivingBody

    Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?'

    Then Paroko alijibu nini:israel:
  6. LivingBody

    Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?'

    I agree with u, challange must,,, othewise unaweza kuwa na mwamke sawasawa na boga mpaka ulihamishe lilipo, i like that kind of women
  7. LivingBody

    kambale mkunje angali mbichi

    tehe tehe tehe,, mmh kaazi kwelikweli.
  8. LivingBody

    Hodi waungwana wa JF

    unakaribishwa kwa moyo wote hapa kijiweni.
  9. LivingBody

    I got money

    But still money........
  10. LivingBody

    Konda Nae Kaoteshwa na Mungu -Mbagala

    More are coming,,,,,,
  11. LivingBody

    Eddie Ganzel

    Paullih umenikumbusha mbali sana, maana nakumbuka kuvisoma hivyo vitabu vyote ulivyotaja hapo wakati huo nilikuwa shule ya msingi,,, mdingi (marehemu) alikuwa polisi hivyo vitabu vya kipelelezi vilikuwa rundo ndani ya nyumba, Nasikitika tu kuwa waandishi wa Riwaya za sasa hawana mvuto kama wale...
  12. LivingBody

    Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

    Jamni mimi naomba kuuliza, nasikia hili neno Sharobaro maana yake ni nini jamani naomba mnijuze, maana naweza zuka Bongo na nisielewe kinacho,, plz
  13. LivingBody

    Natafuta mchumba muathirika

    pole sana usife moyo, kuwa na imani,, hii dunia wote tunapita, ila mimi makushukuru kwa uamuzi uliochukuwa wa kutotaka kuambiza wengine ubalikiwe kwa hilo.
  14. LivingBody

    Breaking news Mtoto wa Babu Ambilikile amekufa!!

    mwanadamu umeubwa kwa udongo, na kwa udongo utarudi.
  15. LivingBody

    Ni Pasaka na kwa kweli Tumepapasana

    anajaribu kuongeza number ya post zake.
  16. LivingBody

    Mapenzi na ng'ombe

    Story ya zamani saaaana. but bado ni joke.
  17. LivingBody

    Hellooo....!

    unakaribishwa kwa mikono miwili.
  18. LivingBody

    HI

    karibu sana Graca, hapa ndo umefika na ndo jamvini kweyewe hapa.
Back
Top Bottom