Search results

  1. babaellen

    Mauzo ya Apple nchini China yameshuka kwa asilimia 30, na yanatarajiwa kuendelea kushuka mwaka huu wa 2024

    ni kweli wengi wanao coment hawajawahi shika hiz promax au pro, siku wakimiliki hawatataka kurudi android, hizi simu ni dunia nyingine, na iphone sio ya kila mtu ina class zake
  2. babaellen

    Mauzo ya Apple nchini China yameshuka kwa asilimia 30, na yanatarajiwa kuendelea kushuka mwaka huu wa 2024

    sio kweli mkuu tuna iphones na hatupat shida ya kupakua video youtube insta na mtandao wowote unaoujua , ambaye hawes pakua ni mgeni wa simu, huitaji kua na app kupakua , mf ukifungua site inaitwa savefromnet, unapaste link yoyote yenye video inapakua hii ni kote ios na android
  3. babaellen

    Nategemea kuvuta fiber internet ya TTCL

    Mi nipo sinza natamani kujua kama TTCl fiber wamefika au zuku na mawasiliano yao
  4. babaellen

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    zuku au ttcl nani yupo maeneno ya SINZA DAR
  5. babaellen

    Miji iliyokua zamani ila sasa imezeeka

    Dodoma nayo inaelekea hukohuko
  6. babaellen

    IPhone 13 camera hamna kitu

    iphone upande wa picha nawakubali sana camera zao yani point and shoot yani humiss kitu hicho ndio kimewaahinda samsung samsung inahitaj utulize mkono hata baada ya kupiga , kwa moving object iphon wamewaacha andeoid mbal na uzoef na hiz sim kwa sasa namilik hiz iphone 11 na note 9 naona...
  7. babaellen

    Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

    acha ubishi, mi natumia note 9 mwaka wa pili huu na hio function ipo unapiiga picha ina extract maandishi pia inaweza kutafsiri kwenda lugha utakayochagua. hii function ya kuextract word toka kwa picha ipo kwa android long tu
  8. babaellen

    Nataka kusoma Pharmacy lakini nilipangiwa kusoma Clinical Medicine. Naombeni Ushauri

    soma hio diploma kwasasa hujui nini unataka ukishaanza kazi ndio utajua unachohitaji
  9. babaellen

    Pharmacy VS Medicine (MD)

    uwongo mkubwa usipotoshe vijana, huwez soma post grad ya famasi kama huna degree ya famasi, tanzania ya sasa ajira serikarin ni ngumu, soma kozi unayopenda na unaweza hudumia, famasi ni rahisi kujiajiri ukiwezeshwa kidogo. na hizi kozi mbili zinategemeana
  10. babaellen

    HESLB bado hawajatoa VRF kwenye salary slip

    body wanatakiwa wataarifu utumishi warekebishe madeni kwenye salary slip sababu hizi slip tunazitumia bank na maeneo mengine kama kupata mikopo ya maendeleo nk., pia unaweza wauzia bank huo mkopo mf mimi slip inaonyesha nadaiwa 16.7m , board statement baada ya kuondoa tozo zao nadaiwa 8.5m, hii...
  11. babaellen

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    ninayo naweza kupa kwa laki nne na nusu, imepasuka kioo cha nyuma ambacho unaweza badili kwa elf 60 tu, ni 128gb last update securit pach jan 2021
  12. babaellen

    Ipi nzuri kati ya Infinix na Oppo ya Mchina?

    nimependa hii discussion, natumia note 9 samsung mwaka sasa , nimekua mtumiaji wa samsung kwa mda mrefu na huawei, nahitaji kwenda iphone 11 au 12, mnaonaje hizi simu, hii note 9 kwa sasa naweza uza bei gani kama used
  13. babaellen

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    nimepata nafasi ya training asia leo nahitajika kutuma passport namba kabla ya trh 13 mwezi huu wa sita. aliefanikiwa kupata passport ndani ya siku mbili anipe mwongozo plz
  14. babaellen

    Nitawezaje kupata Pasi ya kusafiria(Passport ) kwa haraka?

    nimepata nafasi ya training asia leo nahitajika kutuma passport namba kabla ya trh 13 mwezi huu wa sita. aliefanikiwa kupata passport ndani ya siku mbili anipe mwongozo plz
  15. babaellen

    Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

    Kama umepoteza kadi ya benki ya master au visa mtu anaweza tumia hio card kufanya manunuz mtandaoni
  16. babaellen

    Bsc in medical laboratory sciences vs Bsc in pharmacy

    Duh kijana una upeo mdogo sana mtu asome siku 35 aitwe mfamasia. Tembelea ukurasa wangu wa insta uone kazi ndigo sana nayofanya kama mfamasia. Kisha mlete huyo wa siku 35 au wa maabara atest zar. Huyo dogo kama kafaulu vizur asome coz anayopenda kuajiliwa si wakat wa hii awamu ya kazi tu...
  17. babaellen

    Mkopo nafuu kwa wafanyakazi

    kwa dsm gari si anasa ni hitaji la lazima hasa kama unakaa nje ya mji au una mizunguko mingi, so unaweza pata hilo gari kwa mkopo au vyovyote, ushauri wangu kama umeajiliwa na umejiunga na mifuko ya jamii eg pspf nssf etc kopa huko riba zao ni 10% kwa mda wa miaka 2 hadi 5
Back
Top Bottom