Search results

  1. M

    Naomba msaada nitakapopata mbao za trited

    unamaanisha 2x4? Kama ndio nicheki kwa no. O755556808
  2. M

    Show ya vinega vp?

    Sugu katisha,ndio nimetoka huko
  3. M

    Uganda's Richest Musicians vs Tanzania Musician=vinega

    Uganda's Richest Musicians Artistes who include top star Bebe Cool have been struggling financially. Red Banton was offered Red a stick of roasted meat and it turned out to be his first meat in 2009. It's that bad! But there are those artistes who continue to thrive even in the crunch...
  4. M

    Uganda's Musicians why not Tanzania's Musicians.....

    Uganda's Richest Musicians Artistes who include top star Bebe Cool have been struggling financially. Red Banton was offered Red a stick of roasted meat and it turned out to be his first meat in 2009. It's that bad! But there are those artistes who continue to thrive even in the crunch...
  5. M

    Madenti wakodi mabasi kwenda shoo ya Sugu Ustawi

    Posted by GLOBAL on November 24, 2011 at 8:30am Baadhi ya wasanii watakaofanya makamuzi siku ya Jumamosi. Na Mwandishi Wetu SHOO ya uzinduzi wa mix-tape ya Anti Virus inazidi kubamba, upo uwezekano ikajaza nyomi ambalo halijawahi kutokea kutokana na ahadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu kwamba...
  6. M

    TANESCO Kinondoni mnatia aibu...Mh. Mdee tusaidie watu wako

    Ni takribani siku nane hivi maeneo ya lufungira/mlalakuwa hatuna umeme...tumejalibu kufuatilia kwa nini hawashughurikia wanasema eti transformer imehalibika....wanachofanya wanapita kwenye nyumba za mtaani wanakusanya kwa wale wenye pesa wanawahamisha line... Kwa uchunguzi tuliofanya...
  7. M

  8. M

    Hongera kwa JK zasababisha Bushoke kuzomewa tamasha la Fiesta

    Nilishindwa kuamini jinsi msanii bushoke alipozomewa na kuonyeshwa ishara za kuwa atoke jukwaani baada ya kutoa pongezi kwa Kikwete. Jamaa alipaniki mpaka akasahau hata kuchukua tuzo aliyotunukiwa na clouds kwa ajili ya ushiriki wa fiesta. Kweli hali ni mbaya.
  9. M

    Nape hajaelewa vema hoja ya Zitto

    Kutokana na maelezo aliyoyatoa Nape kuhusiana na issue ya posho nadhani kuna kitu hakuelewa vema kutokana na posho zinazidaiwa zifutwe, kwa jinsi nilivyomuelewa zito anataka pesa wanazolipwa wabunge kwa kukaa vikao(sitting allowance) si sahihi kwani wabunge ndio kazi zao na wanalipwa salary na...
  10. M

    Gazeti Mzalendo: TRA yamwita DR. Slaa fisadi, halipi kodi

    kilazaaaaaaaaaaaaaaaaaa usie jijua.......
  11. M

    Wabunge chadema noma

    Hiyo ni iringa wakuu
  12. M

    Wabunge chadema noma

  13. M

    Sakata la Dowans, nani alaumiwe?

    Sakata la Dowans, nani alaumiwe ? Rais Jakaya Kikwete 3937 77% Baraza la mawaziri 377 7.4% Wanasheria na Mawakili 337 6.6% Shirika la Umeme...
  14. M

    Mpasuko Chadema

    kichefuchefu..............,unajisikiaje unvyokuwa haupat support,naona thread zako unatetea mwenyewe no body ansupport ur ideas.......duhhhhhhhhhhhhhhh
  15. M

    List ya vibaraka wa mafisadi hapa jf?

    Nimechunguza na kugundua kuna baadhi ya members hapa JF wanatumiwa na mafisadi kuwasafisha. Kwani wao always ni kutetea upuuzi tu....mfano ni 1-zomba 2-mwiba......mwenye kujua wengine wataje plz..........
  16. M

    Dowans what we have so Far..... (Evidences Kuhusu Dowans)

    Dah huyu zomba kweli kichwa ngumu,always anatetea ujinga....anajifanya anajua kuliko hata mh.sitta
  17. M

    Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

    kwa hiyo unatakubaliana kuwa data zilizotolewa, kweli tanzania kuna vilaza. Na wametoa hivyo wakijua kuna vilaza wengi kama wewe ambao wataamini.....
  18. M

    Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

    Nimejaribu kusearch(google) kama ninaweza ipata compamy ya dowans siipati, Mwenye kujua msaada please......
  19. M

    Vigogo 'wavamia' maliasili za watanzania

    Vigogo 'wavamia' msitu wa Sao Hill Send to a friend Saturday, 11 December 2010 08:12 0diggsdigg Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Uratibu na Bunge, William Likuvi...
Back
Top Bottom