Search results

  1. Z

    Nimekwenda kupumzika makaburini ili kumuenzi nyerere.

    asante kwa ushauri , ila sijaguswa kufanya hivyooo
  2. Z

    Nimekwenda kupumzika makaburini ili kumuenzi nyerere.

    sijaruhusiwa bado kutoka MILEMBE.... nimeandika haya nikiwa chini ya ulinzi wa madaktarii... nadhani unaweza kunisaidia kuwaambia hawa watu kua nimepona:rant:
  3. Z

    Nimekwenda kupumzika makaburini ili kumuenzi nyerere.

    Wakati tukiazimisha miaka 13 ya KIFO CHA mwalimu mimi niliamua kumuenzi kwa kwa kwenda kupumzika MAKABURINI. Najua wengi watanishangaa na kujiuliza maswali mengi, na wengine wanaweza niona kama nimechanganyikiwa zaidi ya yote nafahamu kuna mtu anaweza dhani nime acha kumuamini BWANA na...
  4. Z

    Salamu toka Mabwepande

    Ndugu zangu ahsanteni sana kwa faraja mlizo nipa na ahsanteni pia kwa ushauri. Nakubaliana nanyi kabisa kuhusu MAKAMBA KUKIMBIZA WATU JANGWANI, Lakini siku zote GODORO USILO LILALIA HUJUI KIASI CHA CHAWA WALIOMO. JAMANI sio kama tulikua hatutaki kutoka jangwani ila ni hali za maisha ndg zanguni...
  5. Z

    Salamu toka Mabwepande

    SALAMU TOKA MABWEPANDE. Kwa wale wote mnaokumbuka yaliotukuta miezi kazaa iliyopita huku mitaa ya JANGWANI nafahamu mtakua mna fahamu mkasa nlio uandika kuhusu yaliyo nikuta na familia yangu. LEO napenda kuwasalimu toka makao mapya tuliyozawadiwa na SERIKALI YETU TUKUFU. Kwenye makala yangu...
  6. Z

    Watu hawa wameshaifanyia nini chadema? yupi abaki, yupi aondolewe?

    JASIRI HAACHI ASILI..KILICHO WATOA MABWANA FULANI CCM NDIO HICHO HICHO KITAKACHOLETA FUJO CHADEMA.:alien::alien:
  7. Z

    Kafulila afichua siri za watumishi - kuna wanaolipwa 20,000,000/= kwa mwezi

    itakapofika dk 90 kipenga cha mwisho kitalia.. hapo ndipo refa atakapo tafuta pakukimbilia...si unakumbuka ligi za mchangani lakini. :lol:
  8. Z

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    OLE WENU MNAO MNYOOSHEA MTUMISHI WA MUNGU KIDOLE... mtu akinitumikia BABA atamheshimu said JESUS. mimi simoooo..
  9. Z

    Speech ya Kikwete Davos- World Economic Forum--Tatizo nini?

    Katika Mkutano huu, Rais Zuma, JK, Melles, Raila Odinga na rais wa Guinea walipewa nafasi kuchangia nini hasa kifanyike ili Afrika iweze kupiga hatua....Jk kwa kweli lionyesha kutojua anachosema mwanzoni, kwa sababu pengine hakuwa anajiamini, hasa baada ya wenzake kumtangulia kutoa pointi za...
  10. Z

    Hawa watu wako wapi? (waliosomea shule za Vipaji maalumu).

    Sidhani kama umefanya uchunguzi wako vizuri,,, mimi ni product ya ILBORU Kwa miaka sita yote ya sekondari na kuitwa kipaji maalum sio tu ni jina ni kweli tuna mshukuru MUNGU tuna vipaji maalumu. Hakika nakuambia ukimuweka form 1 wa kipaji maalum na wa shule za kawaida utagundua utofauti mkubwa...
  11. Z

    Sidhani kama bado naipenda nchi yangu

    AHSANTENI SANA WAKUU WOTE MLIONIPA POLE.... hilo nafahamu ni dogo kuna wengine wamepata mkubwa kuliko yangu ila IPO SIKU viziwi watakaposikia na mabubu watakapo ongea ndipo kitakapo eleweka.......
  12. Z

    Sidhani kama bado naipenda nchi yangu

    NAKUMBUKA nilipokua shule ya msingi na sekondari nili imba sana tena kwa shangwe na hamsa kubwa . nili imba TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE, NA NILALAPO NAKUWAZA WEWE PIA NIAMKKAPO NI HERI MAMA WEE......................... LAKINI kwa hali hii iliyonikuta sidhani kama kweli nitakuimbia...
  13. Z

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Mlivyozoea kujipa matumaini mpaka kurudi kwa yesu mnadhani ni hadith na nganongwa....
  14. Z

    Hemed amponda jaji Ian Tusker Project Fame

    Kuna mambo wa bongo inabidi tuyaangalie kwa jicho pevu na kuambiana wenyewe kwa wenyewe kuliko kutiana aibu kwenye audience za wenzetu. tumezoea kufagiliana kipuuzi na wapuuzi tunawafagilia wana lewa sifa na kudhani popote watakapo simama watakubalika kama wanavyo kubalika na wasiojua wenzao...
  15. Z

    Najitambulisha kwa uhalisia

    mmmmmmmmmmmmmmmmh mimi yangu macho...... hebu tukuone.
  16. Z

    Namshukuru mungu sikusoma UDSM

    TAFADHALI SANA nakusihi kwa paa na ayala wa angani usionyeshe ujinga kwenye forum kama hii ambayo imeitwa ya watu wenye uwezo wa kufikiri sana. Sidhani kama ulishirikisha ubongo wako wa ufahamu na hekima kutoa mada hii hewani. Nafahamu kua waliosoma na wanaoendelea kusoma katika chuo kikuu cha...
  17. Z

    CV's za mawaziri wapya: Eng. Omar R. Nundu

    mtoto wa karibu na kwetu huyo. hatimae tanga tumetoa mtu wa ukweli ki elimu sijui utendaji itakuaje..... all the best bwana nundu
  18. Z

    Shitambala ajibu agizo la Dr. Slaa

    Katika dunia yenye demokrasia ya ulimini kama hii tuliyomo mambo kama haya ni kawaida kutokea na makubwa zaidi ya haya tutayasikia. angepata ubunge si dhani kama SHITAMBALA angekumbuka kugawiwa viti maalum MBEYA. poleni mdhaniao kua mabadiliko ya kweli yako midomoni mwa wana siasa.
Back
Top Bottom