Search results

  1. N

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    wote 2po chuo, bado hatujamaliza. tena mwakamoja sema tu vyuo tofauti.
  2. N

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    jamani wana jf naombeni mnisaidie maana mm nina msichana nampenda na natamani aje awe mke wangu. kusema kweli nampenda nae ananipenda pia ila yeye kanipita na miaka kama 2. nilikuwa naombeni ushauri wenu kama nikijamuoa kutakuwa na tatizo.
  3. N

    Madokta walikataa kunywa Juice

    waliogopa kuongeza bajeti kwa wananchi. si mnajua ni kodi zetu?
  4. N

    Matatizo ya hedhi

    mm naomba ufafanuzi zaidi maana mamaa yy anaumwa sana na huwa hata kama akitumia dawa za kutuliza maumivu kama Diclophenac anasema ni kama hazimsaidii kabisa. so anabaki kuyasikilizia maumivu hadi atakapotulia. naombeni msaada kwa hili.
  5. N

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Jamani hii katiba sio suala la kufanyia mchezo kabisaj
  6. N

    Men's logic

    :teeth::pray2:
  7. N

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    mm naona hakuna tatizo ila yawepo mapenzi ya dhati.
  8. N

    DR Slaa aeleza sababu ya CHADEMA kususa

    Inaonekana huyu mzee anataka kwenda kumalizia zilizobaki.
Back
Top Bottom