Search results

  1. Lokissa

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    kiingereza cha kisheria sio grammatical imekaa vizuri inaeleweka angalia content za hukumu isome vizuri yote haina upendeleo:
  2. Lokissa

    Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

    Nebukadneza alifedheheshwa akala majani akasahaulika sehmbuse CCM? Wajitapa tu mwisho wa siku watajuta
  3. Lokissa

    Mtanzania aanzisha shirika la ndege/ Diamond launches own airline

    Jambo la kheri sana: usafiri wa anga unahitaji ushindani ii kuwasaidia wasafiri kuwa na chaguo lao kulingana na bei:
  4. Lokissa

    Edward Moringe Sokoine mpya

    Mtaje sasa tumfahamu mbona nawe wamficha
  5. Lokissa

    Video: Polisi wavunja ofisi ya CHADEMA mkoani Kigoma

    Ma RPC wamegeuka kua wana CCM. nchi hiii inashangaza sana tunakoelekea kubaya Zaidi. Ni aibu sana kwa police kujihusisha na siasa badala ya jukumu lao la kulinda raia na mali zao. wanajenga chuki ambayo itakuja kuzaa uhasama mkubwa sana.
  6. Lokissa

    Sabaya under probe for seven other claims

    wale mataga waliokuwa wanatetea kila ujinga na uonevu unaofanywa na watu wa chama chao mbona siwaoni wakiisema ofisi ya mashtaka?
  7. Lokissa

    DPP amwondolea hati ya kuzuia dhamana bosi wa zamani wa Rahco na wenzake wawili

    afadhali sana wapate dhamana iwe hivo pia kwa wengine na hatau zaidi zichukuliwe makosa yote yawe na dhamana
  8. Lokissa

    Shareholder mkubwa wa NMB ameondoka – Rabobank Nederland

    Wasepe tu kama Tunaweza kukusanya kodi 2T kwa mwezi walipa kodi wapo wengi customers watongezeka bank na kuwekeza
  9. Lokissa

    Mwanga wa ajabu wa Jua leo Dar es Salaam saa 12:10 jioni, rangi ipo Kama nyekundu au Chungwa

    ni mawingu yaliakisi mwanga wa jua wakati likizama hakuna cha ziada hapo.kwa wenzetu magharibi wana kitu wanaita nothern light huonekana wakati wa majira ya baridi wakati huo jua huchomoza magharibi na kuzama magharibi kwa muda wa saa nne tu.
  10. Lokissa

    #COVID19 Polepole: Hatuwezi kuzuia watalii kwa sababu ya Corona, tutapambana nayo kama tunavyopambana na Upinzani. Nchi inategemea watalii

    Mtoto anapodhani mali za babake ni zake siku atakapogundua katika wosia hajahusishwa hugeuka kama kirusi cha corona kinamshambulia yoyote: one day polepole atajigundua Anayofanya sasa ni upotovu ktk maisha yake: Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Lokissa

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    TBC katika Matangazo yenu mnajinadi kuweka mitambo Namanga na Rombo. Nimebahatika kufika Rombo mwishon mwa mwaka jana sijayasikia matangazo yenu. Nimefika tarakea nkaisikia kwa mbali TBC FM na taifa kusogea hadi Tarafa ya usseri usikivu unakomea hapo. Nkajiuliza tambo zote za nini? Iweje radio...
  12. Lokissa

    Maboresho ya Mahakama mbalimbali nchini

    Nliambiwa ni fedha za world bank na serikali inachangia kidogo Mkakati wa kuzijenga umeanza tangu awamu ya JK Awamu hii inabidi wafanye maboresho makubwa zaidi na waboreshe maslahi ya wafanyakazi wao ikiwemo Kuwapandishia madaraja na mishahara ili waepuke rushwa. Uboreshaji wa mahakama Uendane...
  13. Lokissa

    Kashfa: Msemaji wa serikali atumia picha za SGR ya Kenya

    You need deliverance my brother. La kukosoa likosolewe. SGR yetu imefika zaidi ya moro kuna haja gan kutumia picha za kenya? Nahisi hujawahi kuvuka Mpaka wa [emoji1241]
  14. Lokissa

    Kardinali Pengo: Wanaomuita Rais Dikteta wajitafakari upya. Je, watoto kusoma bure na kujenga Hospitali ni udikteta?

    Maneno yake mwenyewe na sio Msimamo wa kanisa katoliki. Akae kimya kama Papa Benedict
  15. Lokissa

    KILIMANJARO: Lema na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai wakamatwa na Polisi

    Kwenda nyumbani kwako kijijini inabitajika kibali! This is real Insane
  16. Lokissa

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    TBC niwaulize mlisema Mtajenga kituo kikubwa cha radio Arusha na kitakua na habari kemkem Na usikivu mkubwa. Mmefikia wapi?
Back
Top Bottom